Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
- Thread starter
-
- #201
Au GPA yake ilikuwa ndogo.. Maana kuwa na masters angekuwa hata assistant lecturer hv......
Anyway.. Ningepata nafasi ningemwuliza nick wa II why asibadilishe chuo au anaogopa kufeli?? tehhhhh
Wawege wanasoma na vitu vinavyoeleweka wapate ajira,usomi bila pesa ni sawa na bure
Kwani ukimaliza masters lazima use lecture,?
Yaani huyo jamaa duh! Mshamba kama kikwete. Degree kelele, MBA kelele na PHD kelele kwani akisoma kimya kimya bila kutangaza inakuwaje? Mwana fa alianza hivi hivi, now ni mavi tu. Achague moja banah!
Hilo tunalifahamu.
Una jipya.?
Ukitaka kujua failures angalia posts zaooo niza majunguuu tuuuu watanzania hatupendani hata kidogooo sasaa we huamini kama jamaa anaenda kusomea masters, bhasi nanenda kusomea hotel management .....😁😁😁😁😁😁😁😁😁👋✌
Mkuu data acha wivu wa 'kike'..
Kwa nikki kasema anarud shule ili akimaliza aajiriwe.?
Au wapi amesema kusoma kwake phd kuna maanisha kuhitaji kazi.??
Inaelekea una elimu ndogo thats why unaona wivu..
Kuna watu nimewadharau Sana kupitia Uzi huu.....
Ahahahahahah KIUKWELI HATA MI SIJAONA MANTIKI YA KUJITANgAZA
Tanzania si inaongoza kwa watu kwenye IQ ndogo duniani! Eti why kasoma sociology! Hivi hata wanawajua magwiji wa sociology ni wanaume!
Mkuu data acha wivu wa 'kike'..
Kwa nikki kasema anarud shule ili akimaliza aajiriwe.?
Au wapi amesema kusoma kwake phd kuna maanisha kuhitaji kazi.??
Inaelekea una elimu ndogo thats why unaona wivu..
Like like like
Nimeshangaa watu wapo busy kujadili maamuzi binafsi ya maisha ya MTU.....
Too low!!!
Kuna watu nimewadharau Sana kupitia Uzi huu.....
Kuna watu nimewadharau Sana kupitia Uzi huu.....
yaani mi hata siwaelewi
yaani wanamponda mtu anasoma
mi mtu mwenye kupenda shule namuadmire hasa mwanamuziki
sina wivu mkuu, huyu dogo hajielewi, afu inasikitisha sana kuona hajitambui.
Em tujiulize wote, 1st degree aliitumia vp mtaani kusaidia vijana kama anavyojinadi.
2nd degree kaitumiaje na sasa anaenda phd.
Inasikitisha kuona mtu kama nick anakua na vyeti mapambo.
SAD.
Kuna mdau keshaniunganisha nae...... mrejesho utapata LOL...
Long live JF