Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
shule aende niki mapovu yawatoke wengine majangaaaaaaaa
Hata sie twashangaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shule aende niki mapovu yawatoke wengine majangaaaaaaaa
Kwani soon ni miezi 6 tu?
sasa sociology na ds za kazi gani...angepiga nyanga za ukweli kama law,economics,finance au statistics ningemkubali..lakn hizo zake hata female cku hizi hawazitaki tena.
Niki ni mmachinga...anauza tishet zimepigwa mhuri wa Nyeusi.
ndo mdudu gani development management?
Ndio maana yake anataka atishie tu wajinga coz Phd aina kazi yoyote mtaani, kama umeshindwa kuitumia masters usifikiri phd itakusaidia lolote. Phd ni elimu ya heshima ndio maana wengi uishia kufundisha.
Phd ya Mkumbo ina utofauti na phd ya Mkandara.
Mkubwa we nidharau ,lakini tunamsaidia nicky.
Kumbe ni Devt Studies sikufatilia maanani last yr nilipoona picha zake ila big up sanaaaa
Mtu Kama huyu unaweza kukuta bado anarisiti mwaka wa 3 huu,lakini naye anadiss
Nafanyia application mahakamani nikiwa nimetinga suti..pembeni nimepaki Fortuner...yenye 22 inches rim...black tinted windows with custom leather seat...whatchu say...??
Wewe mwenyewe ni mzigo tosha,utawezaje kubeba mizigo ya wengine.
Karani wa mahakama ya mwanzo naye anajiona wakili,hii ni hatari sana.
Hivi kalagabaho, katika mitaala ya elimu ya juu hapa Tanzania kuna kozi za kike na za kiume?????
Nifahamisheni jamani mwenzenu darasa la nne la mkoloni namzidi elimu hata Bill Gate na Microsoft technology yake aliyeajiri maprofeseri na wadomi waliopindukia makini hata house girl sijaajiri
Its a mavi degree how can u manage development???!!!.... Wakati we mwenyewe hujadevelop anakumanage peter mchomvu... Degree zingine zifutwe tu...
Alisema au aliimba???
Karani wa mahakama ya mwanzo naye anajiona wakili,hii ni hatari sana.