Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

...kuna kozi ukimaliza huna hata stress za kazi...na huyo nikki anaongeza hadi PhD kwasababu foundation yake ni mbovu kwani uongo

As if unachofanya wewe kina maana...... mentality ya kwamba lazma uajiriwe Nw2 ndo anapingana nayo hasa. Na taratiiibu anaishinda
 
Mkuu usiwaze. Wanaomponda NW2 yameshawashinda ya kwao. Yani mtu kusoma PhD wanaponda?! Eti ya kike! As if hawana mama.......

Eti NW2 akafanye kazi kwanza. Kum..... zao. Hivi mziki anaoimba ni makida yale? Vijana kibao wamekubali mziki wa Weusi Nikki akiwamo. Ss awakomboe vp zaidi vijana? Hv mimtu mingine ya wapi?

Eti haendani na mashairi anayoimba. Hivi Prof. J aliwah kupata zali la mentali?!

Nahisi anaepondwa si Nikki. Kuna vibifu watu wanajarb kuonyeshana. Nw2 ni wa ukwee sana.

BIG UP Dr. Nikki 🙂

kula tano kaka
 
Hahahahahaha...sio bora kusoma tu..have a vision ya future mwenye akili na ataelewa,ukisoma kozi ya maana degree tu inakutosha...tatizo watanzania wengi wanapenda kufanya vitu partially umaskin lazima ututawale...sasa mpaka PhD ya nini wakati hizo degree zake mbili bado hajazifanyia kazi..inasikitisha

Ulitaka afanye kazi gani ndo uamini anazifanyia kazi? Grow up japo kdg pleeeeaz
 
Hili la mwisho. Kwnn umefkiri mi wa kike?

Hahaha..kwasababu una akili za kike..watoto wa kike wanapenda sana maneno maneno so najua tu na wewe utakuwa umevaa bra....mjadala nilishamaliza na huyo dada hapo juu hakuna aja ya mwingine kuja kuuuliza same question what for..??watoto wa kike especially wa uswahilini wanapenda sana maneno maneno...kwani mkuu wewe sio dada😕😕
 
Hhhhaaaaaaaaaa una maneno weyeee
 
Hahaha..huku jf unatakiwa uwe chizi chizi ukiwa serious utapasuka nyongo bure...unaenda hivo hivo watu wanavyokupeleka

Na ukiichukulia siriaz utakua mjingaa ni kukoment unavyopenda sio mtu anavyopenda yeyee
 
Hata angekua anasomea phd ya sayansi kimu maamuzi ni ya kwake, mijitu imekalia kukosoa tuu kila kitu huku cjui ipoje, vigpa vyenu haviruhusu kuendelea hata na masters ya bakery ndio maana mmekaa kuponda tuu.
 
Hahaha..kwasababu una akili za kike..watoto wa kike wanapenda sana maneno maneno ... watoto wa kike especially wa uswahilini wanapenda sana maneno maneno...kwani mkuu wewe sio dada😕😕

Hii kali. Ni akili au maneno? Nevertheless, umeonesha upeo wako. Jinsia yangu, won't make a difference.

Nikki will soon have PhD, inshaallah, na wapinzani wake wataendelea kuhoji uhalali wa mwana hip hop kuwa na PhD ilhali wakiendelea kulalama wanamuziki wa kizazi kipya hawana ilim ndo maana wanaangukia pua fasta.

You are in a catch 22 situation, maam!
 
... vigpa vyenu haviruhusu kuendelea hata na masters ya bakery ndio maana mmekaa kuponda tuu.

Shida kubwa mkuu hiyo shahada yenyewe wengi wanaoponda hawana. Na wengine wamegonga HKL somehow wakawa lawyers ajabu wanaponda DS!

Nw2 kwakweli anaonyesha njia zaidi km kina MwanaFA. Na muziki wao hao wenye ilim ni miles apart na wengine.

Maamuzi yote yanaishia their way coz wao ni Vito Corleone.... so says MwanaFA. Long live conscious 'Hiphopists'
 
Hata angekua anasomea phd ya sayansi kimu maamuzi ni ya kwake, mijitu imekalia kukosoa tuu kila kitu huku cjui ipoje, vigpa vyenu haviruhusu kuendelea hata na masters ya bakery ndio maana mmekaa kuponda tuu.

nimeccheka kweli
ila ujumbe unefika
 
Hii kali. Ni akili au maneno? Nevertheless, umeonesha upeo wako. Jinsia yangu, won't make a difference.

Nikki will soon have PhD, inshaallah, na wapinzani wake wataendelea kuhoji uhalali wa mwana hip hop kuwa na PhD ilhali wakiendelea kulalama wanamuziki wa kizazi kipya hawana ilim ndo maana wanaangukia pua fasta.

You are in a catch 22 situation, maam!

Okei..nshasahau ka bado hii mada...asante dada kwa busara zako...nakutakia uvaaji mwema wa bikini na shanga kiunoni...mie nipo kule mmu kuna hot seat inaendelea na wewe unakaribishwa kuchungulia kule..ila tu njoo umefunga khanga😉😉
 
Sawa shosti. Ntajumuika. Ila shanga hapana shostito.... bikini sawa.

Go go go Nikki wa 2. PhD lazima.
 
Hata angekua anasomea phd ya sayansi kimu maamuzi ni ya kwake, mijitu imekalia kukosoa tuu kila kitu huku cjui ipoje, vigpa vyenu haviruhusu kuendelea hata na masters ya bakery ndio maana mmekaa kuponda tuu.

Hahaaa shangaa na wewe........
Fundisi Muhapa nakupata kwa hali ya juu... hoja zenye mashiko keep it up....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom