Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Au GPA yake ilikuwa ndogo.. Maana kuwa na masters angekuwa hata assistant lecturer hv......

Anyway.. Ningepata nafasi ningemwuliza nick wa II why asibadilishe chuo au anaogopa kufeli?? tehhhhh

Kwani ukimaliza masters lazima use lecture,?
 
Ukitaka kujua failures angalia posts zaooo niza majunguuu tuuuu watanzania hatupendani hata kidogooo sasaa we huamini kama jamaa anaenda kusomea masters, bhasi nanenda kusomea hotel management .....😁😁😁😁😁😁😁😁😁👋✌
 
Yaani huyo jamaa duh! Mshamba kama kikwete. Degree kelele, MBA kelele na PHD kelele kwani akisoma kimya kimya bila kutangaza inakuwaje? Mwana fa alianza hivi hivi, now ni mavi tu. Achague moja banah!

Ahahahahahah KIUKWELI HATA MI SIJAONA MANTIKI YA KUJITANgAZA
 
Hilo tunalifahamu.

Una jipya.?

Mkuu data acha wivu wa 'kike'..
Kwa nikki kasema anarud shule ili akimaliza aajiriwe.?
Au wapi amesema kusoma kwake phd kuna maanisha kuhitaji kazi.??

Inaelekea una elimu ndogo thats why unaona wivu..
 
Last edited by a moderator:
Watu wanajifanya wajuaji,eti labda angesoma degree ya ...mtu anasoma kwa feeling zake ,acheni kujifanya mnajua kila kitu mwisho mtaonekana washamba
 
Ukitaka kujua failures angalia posts zaooo niza majunguuu tuuuu watanzania hatupendani hata kidogooo sasaa we huamini kama jamaa anaenda kusomea masters, bhasi nanenda kusomea hotel management .....😁😁😁😁😁😁😁😁😁👋✌

Like like like

Nimeshangaa watu wapo busy kujadili maamuzi binafsi ya maisha ya MTU.....
Too low!!!
 
Mkuu data acha wivu wa 'kike'..
Kwa nikki kasema anarud shule ili akimaliza aajiriwe.?
Au wapi amesema kusoma kwake phd kuna maanisha kuhitaji kazi.??

Inaelekea una elimu ndogo thats why unaona wivu..

Kuna watu nimewadharau Sana kupitia Uzi huu.....
 
Last edited by a moderator:
Tanzania si inaongoza kwa watu kwenye IQ ndogo duniani! Eti why kasoma sociology! Hivi hata wanawajua magwiji wa sociology ni wanaume!

Hizo degree wangejua zinavyohangaikiwa huko vyuoni wasingesema....

Wape simple assignment watafute karibu watawala wote wakubwa Wa dunia wamesoma vitu Gan na course zipi ndizo zinatawala dunia....
 
Mkuu data acha wivu wa 'kike'..
Kwa nikki kasema anarud shule ili akimaliza aajiriwe.?
Au wapi amesema kusoma kwake phd kuna maanisha kuhitaji kazi.??

Inaelekea una elimu ndogo thats why unaona wivu..

sina wivu mkuu, huyu dogo hajielewi, afu inasikitisha sana kuona hajitambui.
Em tujiulize wote, 1st degree aliitumia vp mtaani kusaidia vijana kama anavyojinadi.
2nd degree kaitumiaje na sasa anaenda phd.
Inasikitisha kuona mtu kama nick anakua na vyeti mapambo.

SAD.
 
Last edited by a moderator:
Like like like

Nimeshangaa watu wapo busy kujadili maamuzi binafsi ya maisha ya MTU.....
Too low!!!

Ukishakua public figure kujadiliwa hakupingiki.

Au unataka na wewe ujadiliwe.??
 
sina wivu mkuu, huyu dogo hajielewi, afu inasikitisha sana kuona hajitambui.
Em tujiulize wote, 1st degree aliitumia vp mtaani kusaidia vijana kama anavyojinadi.
2nd degree kaitumiaje na sasa anaenda phd.
Inasikitisha kuona mtu kama nick anakua na vyeti mapambo.

SAD.

Badala uulize wale ma prof. Wa ccm wameisaidia vip tz kwa elimu zao unauliza kwa nikki..

Wewe kama hukusoma alafu unategemea nikki asome kisha aitumie elimu yake kukukomboa wewe kijana wa mtaani,utasubiri mpaka jehova arudi..

Mi nadhani anasoma kwa ajiri yake yeye na familia yake na sio kwa ajiri ya mtu mwngne,na nadhan anakijua anachokitafta..
 
Back
Top Bottom