Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

sasa sociology na ds za kazi gani...angepiga nyanga za ukweli kama law,economics,finance au statistics ningemkubali..lakn hizo zake hata female cku hizi hawazitaki tena.

Kwani kakwambia ameenda kusoma PhD ili umkubali,acha ujinga wewe bwana mdogo
 
Ndio maana yake anataka atishie tu wajinga coz Phd aina kazi yoyote mtaani, kama umeshindwa kuitumia masters usifikiri phd itakusaidia lolote. Phd ni elimu ya heshima ndio maana wengi uishia kufundisha.

Je wewe uliyeishia darasa la pili,tena kwa mbinde una mafanikio gani?
 
Nafanyia application mahakamani nikiwa nimetinga suti..pembeni nimepaki Fortuner...yenye 22 inches rim...black tinted windows with custom leather seat...whatchu say...??

Karani wa mahakama ya mwanzo naye anajiona wakili,hii ni hatari sana.
 
Halafu watu wengine kukurupuka!! Unafikiri ukisema PHD watu watogopa au? Mbona kuna watu tuna Ma MAsters zaidi ya 2 na tumekaa kimya. Ufanye research kabla ya kupost thread yoyote humu kuna mpaka Ma lecturer waliomfundisha so wanamjua vilivyo.
 
Wewe mwenyewe ni mzigo tosha,utawezaje kubeba mizigo ya wengine.

mmmkhhh!!!
Jamani nicky kashatuelewa tunaomshauri. Tumekutana PM , TUMEEURAH ,TUMECHEKA.

TO UR POINT, MIMI NI MZIGO WAPI.?
 

kuna kozi wanazopenda kusoma wanawake ikiwemo hiyo ya rafiki yako. kwenye hiyo kozi asilimia kubwa ya contents ya masomo yake ni women empowerment .
 
Karani wa mahakama ya mwanzo naye anajiona wakili,hii ni hatari sana.

Hahahaha katibu mkuu wa niki wa pili unafurahisha sana kila sehemu umejibu..FYI i am a proudly UDSL( University of Dsm School of Law) Alumni...nigga feeel that...hahahhhhahaha....viva...non TCU elective....feel that once again..Oooii Oooiii next generation advocatizzoooo......with sWaGG...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…