Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

tatizo huyu dogo hajitambui,,
bado anajitafuta. Hajipati.

Ameimba hataki kazi, anataka kuwa boss ili aajiri watu.

Haoni kama anakiuka maneno yake.

He is not yet grown up.

SAD

Baadae utasikia lecturer somewhere wakati hajawahi kukifanyia kazi chochote alichokisomea na dissertation yake utakuta ilikuwa magumashi hapo full magumashi kwa watoto wa TCU. Wengi watoto wa TCU misingi yao ni ya kimulugomulugo ndio tusubirie bomu litakalolipuka.
 
Kwa hiyo hata hujui nick alikua/anafanya nini na taasisi ipi hadi unaamua kuna na conclusion hiyo? Just Google utapata majibu yote
 
Tukisema elimu ya bongo ni makaratasi hamtuelewi.
 
ambacho kimenimaliza kwny huu uzi ni title za kozi,dah.
thesis in monitoring and evaluation!
aseeeh!
 
Hivi baada ya PHD kuna nini tena? Maana nasikia elimu haina mwisho .
 
Back
Top Bottom