Sitaki kazi ni wimbo tu...ni ushairi jamani haimaanishi ndo maisha ya mwanafasihi.
Hilo tunalifahamu.
Una jipya.?
Kama unalifahamu basi you are the one not yet grown up...and not Nikki.
ndo mdudu gani development management?kasoma master ya development management
HoW Few has NICKY employed to this moment?
tatizo huyu dogo hajitambui,,
bado anajitafuta. Hajipati.
Ameimba hataki kazi, anataka kuwa boss ili aajiri watu.
Haoni kama anakiuka maneno yake.
He is not yet grown up.
SAD
Kwa hiyo hata hujui nick alikua/anafanya nini na taasisi ipi hadi unaamua kuna na conclusion hiyo? Just Google utapata majibu yoteBaadae utasikia lecturer somewhere wakati hajawahi kukifanyia kazi chochote alichokisomea na dissertation yake utakuta ilikuwa magumashi hapo full magumashi kwa watoto wa TCU. Wengi watoto wa TCU misingi yao ni ya kimulugomulugo ndio tusubirie bomu litakalolipuka.
HoW Few has NICKY employed to this moment?
acha uongo.
nick kasoma masters ya Development management
Socilogy ndio digrii gani!!!!!!!!!
Thank you kwa ufafanuzi zaidi
Kwa hiyo hata hujui nick alikua/anafanya nini na taasisi ipi hadi unaamua kuna na conclusion hiyo? Just Google utapata majibu yote
Ndio utuambie wewe uliyemvalia kibwebwe ,mimi navyomjua nimlamba viatu wa Ruge.
MA ya Development Management ???? Naomba prospectus ... I guess ni DS
Niki ni mmachinga...anauza tishet zimepigwa mhuri wa Nyeusi.
Niki ni mmachinga...anauza tishet zimepigwa mhuri wa Nyeusi.
Hhhha elimu yake inampa ninii sasa kusoma kote huko anauza tishet,hizo kozi nazo mmmhhh