Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Digrii ya kwanza kasoma Socilogy UDSM, Masters ya Development Management UDSM, na anaendelea na PHD hapo hapo UDSM kwenye maswala ya Usimamizi wa maendeleo, anaadika Thesis in Monitoring n evaluation.

Aha kumbe ndo kasomea hivo vitu vya kitoto .. Inabidi sasa asome PERSONAL DEVELOPMENT kujisaidia mwenyewe aachane na hizo community development, socialogy n shit shit degrees
 
Aha kumbe ndo kasomea hivo vitu vya kitoto .. Inabidi sasa asome PERSONAL DEVELOPMENT kujisaidia mwenyewe aachane na hizo community development, socialogy n shit shit degrees

we hivo vitu vya kikubwa ulivyosomea ni vipi?
 
Aha kumbe ndo kasomea hivo vitu vya kitoto .. Inabidi sasa asome PERSONAL DEVELOPMENT kujisaidia mwenyewe aachane na hizo community development, socialogy n shit shit degrees

Du mkuu umeua maana waakina Adam Mchomvu ndio wanaomuongoza na hiyo masters yake.
 
jamaa ni conscious sana mpaka raha wangepatikana wasanii 10 kama yeye mziki ungefika mbali

Mmh ananini cha kujivunia alichosaidia sanaa..enyewe kang'ang'ania mziki baada ya kukosa ajira na degree yake ya kike mpaka uhonge penzi ndo unapata kazi..sa ye atahonga nn...
 
Haha ama asome PERSONAL MANAGEMENT.. Ndo maana anajifanya mwanamziki kumbe kakosa ajira

Kama umeenda shule unatakiwa utoe mawazo kwa bosi wako (kama bosi hajaenda shule ina maana bosi mjasiriamali) lakini mwenzetu anapokea maagizo kwa watu aliowazidi shule tena ambao sio wajasiriamali kwenye hiyo sekta apokeayo maagizo.
 
Mmh ananini cha kujivunia alichosaidia sanaa..enyewe kang'ang'ania mziki baada ya kukosa ajira na degree yake ya kike mpaka uhonge penzi ndo unapata kazi..sa ye atahonga nn...

Nami nimejiuliza anasomea mambo gani hayo kama si kujichosha kusoma tu wawaachie kina profesa Lipumba bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…