Eti Mkunga.... Mkunga ni mid wife?
Usihofu mkuu, kazana na shule epuka sept conference.
Hivi vitu vingine unasomea halafu unaishia kuwa mkunga...
Sociology chuo nlichosoma asilimia 90 walikuwa mabinti.
Sijawahi na sitowahi.sikupenda tu kauli yako basi tupe alternative ya kujiunga chuo tz tuachane na TCU,kwasababu unamaanisha wanafunzi wa liopitia TCU wote ni Bomu ni vilaza
Ndio watendaji wa kata,tusikimbie ukweli ila tuboresha kupoteza wataalamu kwa kuangaika na michango wakati tunawahitaji kwa sasa maana jamii ina machizi wengi kutokana na mikopo na maisha magumu yatukumbayo.
Wivu utawaua......no matter anasomea nn.masters itabaki kuwa masters na phd itabak kuwa phd
Wivu utawaua......no matter anasomea nn.masters itabaki kuwa masters na phd itabak kuwa phd
Aha kumbe ndo kasomea hivo vitu vya kitoto .. Inabidi sasa asome PERSONAL DEVELOPMENT kujisaidia mwenyewe aachane na hizo community development, socialogy n shit shit degrees
Wivu utawaua......no matter anasomea nn.masters itabaki kuwa masters na phd itabak kuwa phd
yaani huyu kijana Mungu mwenyewe ndio anaejua.......,
Mm naogopa kuuliza A-level alisoma combination gani...
Ntakuja kuambiwa HKL AU KLF ntakuwa disapointed.
Kuna msemo huwa naupenda Sana....
Degree ni degree hata ikiwa ya maua huwezi ipata kwa kupanga foleni....
kwani si yeye na nyie kasomeni basi kama ni rahic kama mnavyovikiria
thanks thanks thanks
muacheni asome hata akimlamba nnya ruge
mwenye elimu ana elimu tu
kwani si yeye na nyie kasomeni basi kama ni rahic kama mnavyovikiria
Mungu akubariki mwalimu.
chezea kuruka vigingi vya sapu wewe?? chezea assignments na UE wewe??
Labda Kama hujui ladha ya kuitwa msomi.......
huwe dissapointed we inakuhusu nn muacheni nikki kama mnataka kasomeni na nyie