Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

alisema hatak kaz...sasa ckujua content...cjui hataki kuajiriwa..au hataki kufanya kaz..yeye nikusomatu...au...kashaajiriwa na ruge kwenye muziki

Ukimsikiliza vizuri katika mashairi yake, anasema hataki kazi ila anataka atengeneze ajira ili atafutwe na wanaotafuta kazi. Kichwani anawaza kuwa mwajiri
 
Bachelor(sociology UDSM)
Masters(communty & economic development UDSM)
PhD(" " " i hope ni UDSM)

Mbwembwe zote hizo kumbe kasoma sociology kama siti mtemvu? Wenzake wamekosa kazi wamehamia kwenye fani ya kuonyesha uchi jukwaani. Mwacheni msomi koko aendelee kuwadanganya wapuuzi.
 
Kuna watu hawataki kabisa kusikia Nick anasoma Phd mara hajafanya kazi mara alishasema hataki kuajiriwa, guys kuweni wapole afanye kile ambacho anaona ni sahihi kwake kama umemaliza bachelor yako ukakimbilia ajira na mkopo wa gari and now its too late kurud shule mana wanao nao wanataka ada kodi nayo ni tatizo vitz nayo inataka mafuta kausha you chose that life usihamishie stress zako kwa watu acha asome hata akimaliza Phd akaendelea kuimba its oky for hime he is responsible for his life btw tutakuwa na mwanamuziki mwenye Phd is that not enough!?
Thumb up Nick

thanks thanks thanks
muacheni asome hata akimlamba nnya ruge
mwenye elimu ana elimu tu
 
Kuna Foundation naye anampenda.

Ishu sio kumpenda mtu, hapa wivu usio na sababu za msingi. Mara eeh PHD yenyewe haina deal, ni mlamba viat wa Ruge... mara watu wanaosoma sana hawana maendeleo..bla bla kwenda mbele. Asifiwe mtu kwa jambo jema na pia akosolewe kwa baya analofanya. Sasa mtu anaponda tu na hakuna jema.
 
Mfano kama mimi namkubali mistari yake tena nahisi naye ni kizazi cha matriculation kama mimi ila mimi sipendi kugeuza nyeupe kuwa nyekundu (nyeusi nimeogopa nisikukwaze).
 
asante tenaaa
niki somaaaaa
mwenye elimu mwenye elimu
anani inspire niongeze jiwe la pili
hata mi ntaitwa dk soon
hata km phd ya kuzoa taka ya kwako!!
 
Mfano kama mimi namkubali mistari yake tena nahisi naye ni kizazi cha matriculation kama mimi ila mimi sipendi kugeuza nyeupe kuwa nyekundu (nyeusi nimeogopa nisikukwaze).

Hunikwazi mkuu. Hata mimi ni kizazi cha Matriculation. Hata yeye ni binadamu ana mazuri na mabaya yake
 
Baadae utasikia lecturer somewhere wakati hajawahi kukifanyia kazi chochote alichokisomea na dissertation yake utakuta ilikuwa magumashi hapo full magumashi kwa watoto wa TCU. Wengi watoto wa TCU misingi yao ni ya kimulugomulugo ndio tusubirie bomu litakalolipuka.

Mbona unatutukana mkuu.sasa mulugo ashakua waziri so sie tuache kusoma ama nijiunge vipi na chuo bila TCU??so vizuri,mnakera sana
 
Nina uhakika wewe una elimu ya chuo kikuu na unaijua vzr!.waache wajitangaze na sociology zao. Halafu mwanaume? Shame!

Hivi vitu vingine unasomea halafu unaishia kuwa mkunga...

Sociology chuo nlichosoma asilimia 90 walikuwa mabinti.
 
Wivu tu unawasumbua. Mtu hajaja kukuomba Ada na wala humsaidii kwa lolote halafu unapiga majungu tu. Mnajipa stress za bure na mwishowe mnapata BP na Ulcers bure

Wewe ujielewi chalii yangu...yani tumuonee wivu mmachinga wa tishet kisa anataka kuchukua phd ?? mtu wa kunipa stress mimi ni watu kama Patrick Ngowi kina Ali Mufuruku sasa huyo asiyewai ata kufanya consultation leo anitishe mimi na hizi elimu za Prof Bana.
 
Back
Top Bottom