Nikiacha Muziki nataka kuwa Waziri-Diamond

Nikiacha Muziki nataka kuwa Waziri-Diamond

it is ok to have dreams as long as they are not fantasies
 
Kama vyama vya upinzani walikuwa wakigombea urais tokea 1995 wakiwa na mategemeo ya kushinda, unaanza vipi kushangaa Chibu Dangote kuwa na ndoto ya kuwa Waziri wa michezo??? Kitu ambacho ni very possible..

Kitu cha maana mwanzoni lazima kipingwe kwa sababu husda na majungu ni nature ya binadamu wengi, ni sawa na alivyokuwa anatoka kimuziki 2009/2010 na ndoto zake kuja kuiwakilisha Tanzania kimataifa na kuwa msanii mkubwa Afrika, jinsi watu walivyokuwa wanambeza Mara ooh mdomo mkubwa, kapauka, hajasoma, lakini leo kafika...
 
NAPE amesababisha kila mtu anadhani anaweza kuwa Waziri!

Ujinga wa CCM umepitiliza!
 
Nenda Dom kipindi hiki alafu jichanganye maeneo ukimuona uliemchagua unaweza kulia maana wengi wao hawajijui wao ni akina nani,ukiweza kuongoza mke na mtoto wako mmoja tu hakika haushindwi nafasi yoyote ya uongozi Tz,Diamond anamuongoza Zari na Tiffa hakika anaweza.
 
Jk alifanya hadi January na kina kigwangala bila kumsahau yule mkulima wakaona wanaweza kuwa marais..imekuwa hivyo kwa nape tena!!!
 
Back
Top Bottom