Kama vyama vya upinzani walikuwa wakigombea urais tokea 1995 wakiwa na mategemeo ya kushinda, unaanza vipi kushangaa Chibu Dangote kuwa na ndoto ya kuwa Waziri wa michezo??? Kitu ambacho ni very possible..
Kitu cha maana mwanzoni lazima kipingwe kwa sababu husda na majungu ni nature ya binadamu wengi, ni sawa na alivyokuwa anatoka kimuziki 2009/2010 na ndoto zake kuja kuiwakilisha Tanzania kimataifa na kuwa msanii mkubwa Afrika, jinsi watu walivyokuwa wanambeza Mara ooh mdomo mkubwa, kapauka, hajasoma, lakini leo kafika...