Punguza uogaHabr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Umeongea kwa uchungu sanaWakenya wanaipenda sana nchi yao ndiyo sababu wanakerwa na hujuma wanazozifanya viongozi, wakenya wanataka waujue kila mkopo unaofanywa ni kwa ajili ya nini tofauti na sisi maradi unagharamiwa na pesa za ndani kisha mradi huohuo unakopewa pesa toka nje! Ukweli hatuipendi nchi yetu ndiyo sababu miradi mingi inahujumiwa na kufa tukiacha viongozi wanagawana hiyo miradi, viwanda vingi vimekufa bila sababu na miradi kama Udart imekufa huku tukiichekea kama vile si yetu. Huko Kenya ni vigumu kusikia kiwanda kimefungwa, viwanda vyao vingi vipo toka miaka ya 50 na vipo katika ubora mkubwa, kuna viwanda vya Kenya vilikuwepo hapa tukavibinafsisha na kuviua huku Kenya bado vipo! Tumeua viwanda vyote vya nguo na kugeuza baadhi kuwa vituo vya mabasi, machinjio ya ng'ombe na viwanda vya uponyaji wa akina Mwamposa! Akili gani hiyo! Tanga kulikuwa na viwanda vikubwa hivi sasa hakuna, viwanda vya zana za kilimo tumeviua vyote na mitambo kuuza kama vyuma chakavu!
Unafurahi kuona nchi inakufa huku tukiitazama kwa madai ya kuipenda nchi yetu! Huu ni ujinga uliokithiri.
AhaaaaaHuyo babu yenu alikua na kiherehere tu, huyo ndo katuset vibaya as a country
Atleast umetambua kama tunataman, ipo siku tutataka, kwani nchi ni yetu soteHabr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
hahaha kwamba wakenya hawana shule? Do you know by statistics kenya ndio inavijana wengi wenye elimu ya juu kuliko nchi yoyote east africa?Hatuwezi kufatilia mambo ya wenzetu haya tuhusu.Yaani niache kufatilia tetesi za usajili, ku bet, nifatilie maandamano? niwapongeze viongozi wetu kwa amani tuliyokuwa nayo ni kwasababu pia vijana wengi wa sasa ni wasomi tofauti na kwa wenzetu kichwani hakuna shule wanaendekeza uhuni siasa badala ya kufanya kazi.
Katiba ipi? Inayosimamiwa na nani,?Tufuate SHERIA na katiba yetu
Wana mihemko.Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Mbona unatetemeka sana, bila shaka ni mnufaika wa mfumo wewe.Tusiige hao mkuu
Kwani hawo waliopewa dhamana ya uongozi wanafuata sheria na katiba?Tufuate SHERIA na katiba yetu
Jinga sana wewe mnakula hela za wananchi halafu mnakuja kupiga mkwara eti tanzania hailei ujinga siku mambo yarawabadilikia hamtaamini mpaka vinyeo mtaliwaWana mihemko.
Tanzania hailei ujinga mtafyekwa wote,waulizeni.kina Lipumba,Maalim seif,sijui Wadai gesi ya mtwara na wale wa Zanzibar na Mwembe Yanga.
Tanzania ni Nchi ya kijamaa sio ya kijinga kama hizo,msije kuthubutu
Yaani wewe taratibu unaanza kuonekana ni mjinga kiasi gani,Wana mihemko.
Tanzania hailei ujinga mtafyekwa wote,waulizeni.kina Lipumba,Maalim seif,sijui Wadai gesi ya mtwara na wale wa Zanzibar na Mwembe Yanga.
Tanzania ni Nchi ya kijamaa sio ya kijinga kama hizo,msije kuthubutu
Sio kweliVijana wa Tanganyika wana akili kuliko hao vijana wa Kenya wao kazi kuiga mambo yako wazungu. Hayo mamumbumbu ya Kenya yaendelee kulivuruga taifa lao ili Tanganyika tuwapige Gap kwenye uchumi.
VAT ; 18%Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.
Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.
Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Mpo hapohapo, hamuendi kokote.Amani na Upendo ndo nguzo kuuu ya maendeleo..
Ndiyo tumewazidi tena mbali sana,angekuwa wameisoma kama huku was ingekuwa na muda wa kupoteza kwenye mambo ambao hayana maana. Angalia tu vijana wa huko wanavyo haha hadi wanavamia kafteria za waheshimiwa na kula chakula chao kisa kodi, kwani kuongezeka kwa kodi kuna shida gani. Sisi hatuwezi fanya hayo mambo tupo bize na kazi ndiyo maana na uchumi umepanda.hahaha kwamba wakenya hawana shule? Do you know by statistics kenya ndio inavijana wengi wenye elimu ya juu kuliko nchi yoyote east africa?
Kitu kinaitwa amani nchi hii ni uoga uliokuwa rebranded, na wanasiasa wanalijua hili. Is why ni waoga sana kwenye migomo, hajazoea resistance, wamezoea yes Man a.k.a mazuzu
Umesoma yaliyomo kwenye mswada na effect zake?Ndiyo tumewazidi tena mbali sana,angekuwa wameisoma kama huku was ingekuwa na muda wa kupoteza kwenye mambo ambao hayana maana. Angalia tu vijana wa huko wanavyo haha hadi wanavamia kafteria za waheshimiwa na kula chakula chao kisa kodi, kwani kuongezeka kwa kodi kuna shida gani. Sisi hatuwezi fanya hayo mambo tupo bize na kazi ndiyo maana na uchumi umepanda.
Wewe mbinti ni wa Mara kumbe, I'm proud to have you in our lovely region.Na sisi Mara ndiyo tutalikomboa hili Taifa. Tuliwatoa kwenye Ukoloni wa watu weupe.
Nasasa tutawatoa, kwa hawa wakoloni weusi wasiojielewa.