Nikiangalia comment za vijana wa kitanzania kuhusu maandamano ya Kenya ni kama mnatamani ila mnashindwa nani aanzishe. Msithubutu tuipende nchi yetu

Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Punguza uoga

Aaahaaa
 
Wakenya wanaipenda sana nchi yao ndiyo sababu wanakerwa na hujuma wanazozifanya viongozi, wakenya wanataka waujue kila mkopo unaofanywa ni kwa ajili ya nini tofauti na sisi maradi unagharamiwa na pesa za ndani kisha mradi huohuo unakopewa pesa toka nje! Ukweli hatuipendi nchi yetu ndiyo sababu miradi mingi inahujumiwa na kufa tukiacha viongozi wanagawana hiyo miradi, viwanda vingi vimekufa bila sababu na miradi kama Udart imekufa huku tukiichekea kama vile si yetu. Huko Kenya ni vigumu kusikia kiwanda kimefungwa, viwanda vyao vingi vipo toka miaka ya 50 na vipo katika ubora mkubwa, kuna viwanda vya Kenya vilikuwepo hapa tukavibinafsisha na kuviua huku Kenya bado vipo! Tumeua viwanda vyote vya nguo na kugeuza baadhi kuwa vituo vya mabasi, machinjio ya ng'ombe na viwanda vya uponyaji wa akina Mwamposa! Akili gani hiyo! Tanga kulikuwa na viwanda vikubwa hivi sasa hakuna, viwanda vya zana za kilimo tumeviua vyote na mitambo kuuza kama vyuma chakavu!
Unafurahi kuona nchi inakufa huku tukiitazama kwa madai ya kuipenda nchi yetu! Huu ni ujinga uliokithiri.
Umeongea kwa uchungu sana
 
Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Atleast umetambua kama tunataman, ipo siku tutataka, kwani nchi ni yetu sote
 
Hatuwezi kufatilia mambo ya wenzetu haya tuhusu.Yaani niache kufatilia tetesi za usajili, ku bet, nifatilie maandamano? niwapongeze viongozi wetu kwa amani tuliyokuwa nayo ni kwasababu pia vijana wengi wa sasa ni wasomi tofauti na kwa wenzetu kichwani hakuna shule wanaendekeza uhuni siasa badala ya kufanya kazi.
 
hahaha kwamba wakenya hawana shule? Do you know by statistics kenya ndio inavijana wengi wenye elimu ya juu kuliko nchi yoyote east africa?
Kitu kinaitwa amani nchi hii ni uoga uliokuwa rebranded, na wanasiasa wanalijua hili. Is why ni waoga sana kwenye migomo, hajazoea resistance, wamezoea yes Man a.k.a mazuzu
 
Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Wana mihemko.

Tanzania hailei ujinga mtafyekwa wote,waulizeni.kina Lipumba,Maalim seif,sijui Wadai gesi ya mtwara na wale wa Zanzibar na Mwembe Yanga.

Tanzania ni Nchi ya kijamaa sio ya kijinga kama hizo,msije kuthubutu
 
Jinga sana wewe mnakula hela za wananchi halafu mnakuja kupiga mkwara eti tanzania hailei ujinga siku mambo yarawabadilikia hamtaamini mpaka vinyeo mtaliwa
 
Wala hii hali haina mda mrefu ndugu yangu kwa majbu ya akina mwigulu na chalamila kuwaona wanao hoji hawana akilini utayaona mwakani2 wala cyo mbali na itakua kubwa kulko ogopa sana watu wa kimya, endeleen kusema Mama anaupga mwingi
 
Wana mihemko.

Tanzania hailei ujinga mtafyekwa wote,waulizeni.kina Lipumba,Maalim seif,sijui Wadai gesi ya mtwara na wale wa Zanzibar na Mwembe Yanga.

Tanzania ni Nchi ya kijamaa sio ya kijinga kama hizo,msije kuthubutu
Yaani wewe taratibu unaanza kuonekana ni mjinga kiasi gani,
Bonge moja la fala yaani.
 
Vijana wa Tanganyika wana akili kuliko hao vijana wa Kenya wao kazi kuiga mambo yako wazungu. Hayo mamumbumbu ya Kenya yaendelee kulivuruga taifa lao ili Tanganyika tuwapige Gap kwenye uchumi.
Sio kweli
 
Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya, pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine.

Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari.

Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
VAT ; 18%
na buku jero zetu je wamezifanyia nin kama kila mradi ni hela za mkopo ? unahisi nan wakumkanya mwanao kama si wewe ?
 
Amani na Upendo ndo nguzo kuuu ya maendeleo..
Mpo hapohapo, hamuendi kokote.
Swala linalowafanya Wakenya waandamane ni budget, budget ambayo imesomwa pamoja na ya Tanzania, kama Tanzania wangekuwa ni wa kuandamana basi upepo ule wakenya ndiyo ilikuwa waende nao, matokeo yake hali ikawa tofauti. Wakati Wakenya wakikusanyika kujadili bajeti yao, watanxania wakabadilishiwa mada, badala ya bajeti ya mada ya bajeti wakaletewa kujadili jindi RC anavyokula tigo ya Tumsime
 
hahaha kwamba wakenya hawana shule? Do you know by statistics kenya ndio inavijana wengi wenye elimu ya juu kuliko nchi yoyote east africa?
Kitu kinaitwa amani nchi hii ni uoga uliokuwa rebranded, na wanasiasa wanalijua hili. Is why ni waoga sana kwenye migomo, hajazoea resistance, wamezoea yes Man a.k.a mazuzu
Ndiyo tumewazidi tena mbali sana,angekuwa wameisoma kama huku was ingekuwa na muda wa kupoteza kwenye mambo ambao hayana maana. Angalia tu vijana wa huko wanavyo haha hadi wanavamia kafteria za waheshimiwa na kula chakula chao kisa kodi, kwani kuongezeka kwa kodi kuna shida gani. Sisi hatuwezi fanya hayo mambo tupo bize na kazi ndiyo maana na uchumi umepanda.
 
Umesoma yaliyomo kwenye mswada na effect zake?
 
Kujua kama inawezekana au haiwezekani tulia kwenye mikusanyiko sikiliza mada za wachangiaji.....
 
Back
Top Bottom