Nikiangalia comment za vijana wa kitanzania kuhusu maandamano ya Kenya ni kama mnatamani ila mnashindwa nani aanzishe. Msithubutu tuipende nchi yetu

Wewe kweli boya, bajeti sio Jambo la msingi?. Halafu hizo kazi unazosema zipo wapi?. Ukimya wavijana wa Tanzania usiwafanye nyie chawa kuwadharau.
 
Tufuate SHERIA na katiba yetu
Hivi Hii sheria na katiba huwa ni kwa upande mmoja tu..

Huonekana vibaya pale Raia wasipofata Sheria na Katiba ila Viongozi wasipofata Huonekana Ni sawa Tu..

Hii double standard mngeiacha
 
Kipimo cha uoga wetu kinatakiwa kiwe kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka huu na mwaka kesho. Mtu akijaribu kuiba kura tumalizane naye
 
Tanzania kunatumika mfumo wa divide and rule.

Mfano tu:
Wafanyakazi wa Sekta binafsi na wafanyakazi wa serikali.

Ikitokea hawa wa sekta binafsi wana mgomo kutetea haki zao basi hutawaona hawa wa serikali wakisapoti wenzao.

Ikitokea wa serikali wana mgomo hutasikia wa sekta binafsi wanapaza sauti kutetea wenzao. Hivyo inakuwa rahisi kuwatawala miaka dahari.

Walioajiriwa na wasioajiriwa.
Ikitokea walioajiriwa wanaandamana au kugoma kudai haki hawa wasioajiriwa huwezi kuwasikia wanaungana kutetea wenzao na ikitokea wasioajiriwa ndio waandamanaji hutasikia walioajiriwa wakisapoti chochote.

Kwa nje mtu akiwaangalia watanzania ataona kuwa ni wa moja ila kiuhalisia mioyo yao ipo mbalimbali sana.

Chama tawala kitaendelea kutawala miaka nenda rudi.
 
Mpumbavu wa hedi wewe, hao walioshika hawaipendi wewe usiyejua unakula nini baadae ndo unaipenda?
 
Kenya kumekucha maandamano hayo
Your browser is not able to display this video.
 
Binadamu kwenye njaa na manyanyaso hajawahi kukaa sawa.

Ukweli usemwe vijana wengi kuanzia hapa 2002 wako moto sana na mambo makubwa na yanafanikiwa kwa namna zao.Hasa baada ya ujio wa hizi Techs.

KItoto cha la Kwanza siku hizi kinaweza kukushangaza kwenye mazungumzo.😀😀😀 hawa wa Public School.

Njoo kwa hawa wapanda magari ya Njano...Kitoto cha Class one hahaha unaweza kubishana nako ukaona kabisa huu upepo sio huko mbele.

Dunia inabadilika haihitaji vitisho kupata haki.Kama Wazee hawakujipanga ,watapangiwa huko mbeleni.

Keki iendelee kuliwa kiganga ganga..Muda hausubiri.
 
Ikiwa wewe mambo yako mazuri usikirie watu wote wako kama wewe ,umepata fupa una ngengena kuna watu hali mbaya zaidi tena ndio waliowengi .Tabia ya binadamu asipopata haki yake basi ataitafuta kinguvu na huko ndiko tunakoelekea Mawaziri .Wabunge hawana Vision ya kuchukua kodi kwengine .Bidha imetoka nje umenunua shilingi moja usafirashaji shilingi mbili .Ushuru shilingi kumi plus ukiuza madukani Tax ya shillingi 7 So shilingi 10 Ushuru plus Tax 7 total 17 za serikali bidhaa ni shilingi moja tu na usafiri shilingi 2 .Sasa wewe utauzaje apo kweli utatoa risiti Tuna viongozi wa hovyo sana hawajali maisha ya wananchi unasema wasiingie barabarani its just a matter of time tu hii ni (GEN Z) Tuko ktk ulimwengu wa DOT COM any thing is posible kama huamini angalia nyumbani kwako watoto wako wanafanya kitu gani ktk hiyo DOT COM.
 
Maandamano sio fujo na pia kumbuka watu wanaweza kuleta fujo bila maandamano. Mchakato wa kukataa Finance Bill ya Kenya ulijumuisha marika yote ndio maana hadi mawakili wakongwe walifungua hadi mashauri mahakamani kupinga muswada huo. La kujifunza kutoka Kenya ni kuwa, bila kuchukua hatua unaweza nyanyaswa na hata kupoteza haki zako. Kwa Tanzania, kabla ya kufikiria kuandamana, ni lazima wajifunze kufuatilia vitu (elimu, siasa, uongozi etc) ili kuweza kuelewa haki zao na vile taratibu zinapaswa kuwa.
 
Amani yenyewe hata hatuna, ila ndo tunaelekea huko kuitafuta kwasababu tukidai kwa amani wanatuambia tuhamie Burundi
 
Stupid idiot. Alikuset kwenye nini wewe mjinga?. Kwani unamlaumu mtu aliyestaafu mwaka 1985?. Mkiambiwa Katiba mpya mnakataa, mmebaki kulaumu watu. Stupid idiot, unashindwa kuwa sehemu ya mabadiliko umebaki kulalama.
Foundation muhimu! sio lawama ni facts💯
 
Fursa zipo nyingi tu huko Katavi kwenye kilimo cha mahindi pia Tukuyu kilimo cha Viazi. Vijana wajiajiri Kama spika anavyoshauri
 
D
Uh!! Hii ndo kazi ya mwenge kuwafanya watu ndodocha kama akili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…