Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Hii inahitaji kuwa basis ya national dialogue; Tanzania haijafika tu kwenye stagnation ya democracy kama wengi wanavyodhani, bali kuna other fronts ambazo ukizimulika deeply utagundua kwamba zinaanguka.
Hii tafsiri yake ni kwamba, wakati serikali yetu ikiendelea ku pump uchumi ukue kwa kulazimika kuongeza madeni, lakini sekta nyingine na maeneo mengine yapo kwenye stagnation. Hii ina maana kwamba, kunakosekana sustainability ambayo ndo chachu ya uchumi kuendelea kukua.
Na mfano wa kitu kilichonigutua akili yangu, ni hii tuzo ya ubunifu wa nembo ya 'Made in Tanzania' ambayo ilitolewa kwa bashasha na Rais wa Zanzibar na mawaziri.
Nimeichukua ile nembo na kuifananisha na ile ya bibi na bwana iliyogunduliwa miaka 67 iliyopita kabla hata ya uhuru, yaani naona kabisa kwamba, ile nembo ya bibi na bwana imeiacha mbali sanaa, hichi kinachoitwa ni ugunduzi wa nembo ya 'Made in Tanzania'.
Maana yake ni kwamba, huyu mgunduzi wa nembo ya bibi na bwana angeweza bado kutufanyia kazi bora kuliko huyu kijana wa kileo aliyezungukwa na AI.
Maana yake kwamba, Tanzania kwenye sekta ya uchoraji haijapiga hatua yeyote kwa miaka 67 iliyopita na imedorora.
Same case applies to other sectors as well, uki deep dive kwa kuangalia indicators mfanano wa huu kwa sekta nyingine nyingi, unaona kabisa kuna shida sehemu nyingi sana.
Na madhara ya stagnation ni kwamba, itafika kipindi ukuaji wa uzalishaji na ubora wa bidhaa utatoweka na hapo ndo kunapotokea ile episode ndefu ya mdororo wa uchumi coz the economy cannot produce new, large quantity and high quality goods and service.