Ukishaanguka kusimama inabidi ubadilishe mazingira yanayokuzunguka kuanzia marafiki unakunywa nao pombe nk..,Ulevi hauachwi kwa kushauriwa na watu Hapana, Ukishaamua wewe binafsi kwamba hutaki kuwa mlevi tena, utaacha tu. Cha msingi uwe na msimamo kwa Sababu shetani nae hakaagi mbali akiona unataka kumwacha.