Nikianza kumtongoza mwanamke kabla hajakubali nakuwa na shauku naye akikubali tu napoteza hamu naye

Nikianza kumtongoza mwanamke kabla hajakubali nakuwa na shauku naye akikubali tu napoteza hamu naye

Kuna maisha nje ya mahusiano ya mapenzi, acha maisha yaendelee. Lol
 
Ukishaanguka kusimama inabidi ubadilishe mazingira yanayokuzunguka kuanzia marafiki unakunywa nao pombe nk..,Ulevi hauachwi kwa kushauriwa na watu Hapana, Ukishaamua wewe binafsi kwamba hutaki kuwa mlevi tena, utaacha tu. Cha msingi uwe na msimamo kwa Sababu shetani nae hakaagi mbali akiona unataka kumwacha.
 
Kurekebisha tabia ni utashi binfsi siyo ushauri wa watu! Binafsi nilikuwa mtumiaji mzuri wa bia, ila nilipo amua kufocus kwenye mipango yangu ya maana niliacha na ninao uwezo wa kukaa na kreti la bia ndani na nisilazimike kunywa, mpaka nitake Mimi.
 
Mkuuuu ww huna pesa ndo maana ulianza hako ka mtindo unatongoza akikubali unakosa ham tatizo ni pesa mkuuu ukiwa na pesa ungetaka kimchakata nimesoma saikolojia canada nakupa pole sana tiba nicheki inbox
 
Back
Top Bottom