Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Anamuita "moyo mtamu" aka sweetheart.Kazi ipo.Mwanamke ni mtu kwa kumuweka moyoni? Eti anatembea na nusu ya moyo wake!
Jinga kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamuita "moyo mtamu" aka sweetheart.Kazi ipo.Mwanamke ni mtu kwa kumuweka moyoni? Eti anatembea na nusu ya moyo wake!
Jinga kabisa
🤣mzee hapa hamfaidi kitu labda kumuosha tu maiti shenzi kabisaWewe sepa tuchukue mali safi!🤣
Naunga mkono hojaYaani tutaelewana tyu
Kuna miamba haisikiagi hadi utumie mabavu
Am ready kupimana uanaume
Binadamu tuna siri nyingi sanaAnamuita "moyo mtamu" aka sweetheart.Kazi ipo.
Nasemajeeee...utajua wewe!🤣🤣🤣🙏🤣mzee hapa hamfaidi kitu labda kumuosha tu maiti shenzi kabisa
Tulia wewe ,Acha kupangia watu maishaMwanamke ni mtu kwa kumuweka moyoni? Eti anatembea na nusu ya moyo wake!
Jinga kabisa
Wewe ndio unatupangia maishaTulia wewe ,Acha kupangia watu maisha
Mmeshakwama ninyi.Mtasafirishwa miili yenu kwa FUSO halafu wake zenu tunawapandisha kwenye motokaa ndogo huku tunawabembeleza wawasahau.😂Naunga mkono hoja
Mamaeeh unakuta kabisa mijitu inamezea mate mke wanguNasemajeeee...utajua wewe!🤣🤣🤣🙏
Tena mimi nitajidai nilikua rafiki yako sana na uliniusia nitunze familia yako ukitoroka kuishi.Mamaeeh unakuta kabisa mijitu inamezea mate mke wangu
Bloodfull😁
Utampa nini ambacho hana buanaMmeshakwama ninyi.Mtasafirishwa miili yenu kwa FUSO halafu wake zenu tunawapandisha kwenye motokaa ndogo huku tunawabembeleza wawasahau.😂
Nina vya urithi halafu tunaongezea na vya kwako.Saafii.Mwanamke mjane anapenda liwazo.Utampa nini ambacho hana buana
😅mtu bado unapambana kununua gari na nyumba
Waelekeze hao wasife na vinyongo mtiririko.Nitaolewa na hakuna kitu utafanya😌
Poa, atakuwa anabanduliwa wa wahuni!Salamu wanajf!!
Kakitaka kitu kitaniuma humu duniani nikusikia mke wangu kaolewa !!
Anatembea na nusu wa moyo wangu ,kusema ukweli siwezi kuvumilia kuchukuliwa na mwanaume mwingine na kuanza kupigwa show .
Ivyo basi nikifa asiguse
Everything remind of her ,anytime anywhere