gasper2015
New Member
- Jan 11, 2022
- 3
- 4
Kuna hizi kazi za tenda wanatangaza sana halmashauri, ya kufanya usafi na kuzoa taka ngumu na kwenda kutupa dampo.
Kazi hii kiuhalisia sio ngumu lakini ugumu unakuja kwenye malipo yaani wanataka pia ukusanye ushuru wa taka na 30% ulipe halmashauri inayobaki ya kwako, issue ngumu hapa ni kudeli na watu ili kulipa ushuru wa taka.
Wenye uzoefu naomba msaada je nikiingia kwenye hiyo kazi sita pata hasara
Asante 0622575615