Nikifanya mapenzi naharibu ratiba ya kujisaidia

Nikifanya mapenzi naharibu ratiba ya kujisaidia

Pole mwenzangu, mwenzio nikifanya mapenzi na mpango wa kando tu lazima niharishe. Sasa wewe hilo linakutokea ukiwa na mkeo au mpango wa kando?
 
asa cross joint inahusika na nini sasa hapo
Ni hali ya kawaida tu bila shaka hali hiyo inasababishwa na nguvu kubwa inayotumika wakati wa tendo lenyewe ni vema pia ungeangalia Crank shaft ya kushoto kwenye pin za kati
Lakini pia nina mashaka na hazard light zilizoko kwenye utumbo wako.Hata hiyo chases ya cross joint hswa kwenye mounting za kichwa huenda zikawa zimelegea
Ni vema umtafute doctor ili akufanyie overhaul
HAPO VIPI UMEELEWA AU NDO NIMEKUCHANGANYA KABISA
 
ha ha ha ha ha ha acheni kuvunja wenzenu mbavu bwana
 
Naombeni ushauri wa kitaalamu nina shida moja kuwa kila nikifanya mapenzi naharibu ratiba yangu ya kwenda haja kubwa tatizo ambalo lina nipa shida sana kwani ratiba yangu ya kwenda haja kubwa ni saa moja asubuhi na nikifanya mapenz naenda haja kuanzia saa saba. Tatizo ni kuwa saa saba natakiwa kulipia huduma ya choo nikiwa eneo langu la kazi

Du! Mapiiiii zamu yako kukuja
 
Last edited by a moderator:
Na kuna watu wanampango wa kuhama jf!! Mimi sihami humu dah! Stress zote kwisha
 
Naombeni ushauri wa kitaalamu nina shida moja kuwa kila nikifanya mapenzi naharibu ratiba yangu ya kwenda haja kubwa tatizo ambalo lina nipa shida sana kwani ratiba yangu ya kwenda haja kubwa ni saa moja asubuhi na nikifanya mapenz naenda haja kuanzia saa saba. Tatizo ni kuwa saa saba natakiwa kulipia huduma ya choo nikiwa eneo langu la kazi

Unaruka ukuta?
 
hamjamuelewa tatizo lake ni kulipia huduma ya choo full stop.ushauri wangu kanunue kibeseni cha mtoto(jina lake silijui)wanatumia sana wamama wawapo safarini ili uwe unatembea na choo chako.
 
Kwani kulipia choo nako ni issue au inaharibu bajeti yako. my take. ushoga na ufanyaji wa tendo kinyume na maumbile ni sababu pekee hapa
 
Jitahidi unywe maji yakutosha, lakini je ukija kunya mchana karo linajaa...?
 
ukiwa na macho, masikio na mdomo tena ukawa unaweza kusoma yaliyo jf umebahatika sana
kha basi jisaidie kwanza kabla ya kufanya mapenzi
 
Back
Top Bottom