Nikifanya mapenzi naharibu ratiba ya kujisaidia

Nikifanya mapenzi naharibu ratiba ya kujisaidia

mapenzi yana speeed up digestion kwa asilimia zote waste products zinayeyuka na kuwa damu so hapo cha msingi usifanye ili ratiba iwe as you schedule it!
 
mmhhh hiyo mpya ya mwaka aiseee fanya umwone Dr au jibu maswali walokuuliza wataalam ie unafanya au unafanywa ?na hilo la sex pia ingawa hope yanafanana ili usaidiwe·
 
Mi ni mwanaume na ninakila sifa ya mwanaume naomba msaada wa kitahara kwa great thinkers kama huna msaada okoa muda na pesa kwa kuacha kuchangia na bado utabarikiwa

Umefunga ndoa???
 
Ni hali ya kawaida tu bila shaka hali hiyo inasababishwa na nguvu kubwa inayotumika wakati wa tendo lenyewe ni vema pia ungeangalia Crank shaft ya kushoto kwenye pin za kati
Lakini pia nina mashaka na hazard light zilizoko kwenye utumbo wako.Hata hiyo chases ya cross joint hswa kwenye mounting za kichwa huenda zikawa zimelegea
Ni vema umtafute doctor ili akufanyie overhaul
HAPO VIPI UMEELEWA AU NDO NIMEKUCHANGANYA KABISA

Hahaaaa daaaagh.....
 
Back
Top Bottom