Nikifanya mapenzi peku na mwanamke yeyote, baada ya siku kadhaa atasema tumbo linamuuma. Tatizo laweza kuwa nini?

Nikifanya mapenzi peku na mwanamke yeyote, baada ya siku kadhaa atasema tumbo linamuuma. Tatizo laweza kuwa nini?

Doz m

Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
6
Reaction score
1
Naombeni ushauri wa kitiba, kila nikitembea na mwanamke pekupeku lazima baada ya siku kadhaa akuambie tumbo linamuuma, na mimi kwa upande wangu uume umekuwa ukiniwasha washa kwene urethra hadi unatamani uigize kakitu ukune, lakini pia nikibana mkojo kidogo tumbo linajaa na mara nying tumbo linakuwa linaweweseka as if mtu ana hofu fulani hivi

Nimetumia dawa nyingi tu lakini hazinisaidi, mimi ndio mwenye tatizo pengine nahisi ni UTI au chango, hadi nashndwa kuelewa

Kwa anayejua tatizo anisaidie kiutaalamu na kiuzoefu zaid ili niweze kupona
 
Umesema unahisi ni UTI, nakushauri nenda hospital ukapime mkuu mambo ya afya hayahitaji kuhisi
 
"Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua".

Nenda hospital jamaa..pekupeku sio dili hasa kwa mademu wa sikuhizi wapenda pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Inawezekana una fungus zinakusumbua Kwa Muda mrefu ni Bora ukapate TIBA na mm ilikuaga hvyo akasema anawashwa na tumbo linamsumbua baadae nilipojitibu saiv sisikii tena hizo mambo
 
Inawezekana una fungus zinakusumbua Kwa Muda mrefu ni Bora ukapate TIBA na mm ilikuaga hvyo akasema anawashwa na tumbo linamsumbua baadae nilipojitibu saiv sisikii tena hizo mambo
Fungus pia zishawah kunisumbua japo zenyewe zishapona,,ww ulienda hospital ulitumia dawa gan
 
Back
Top Bottom