Doz m
Member
- Nov 17, 2022
- 6
- 1
Naombeni ushauri wa kitiba, kila nikitembea na mwanamke pekupeku lazima baada ya siku kadhaa akuambie tumbo linamuuma, na mimi kwa upande wangu uume umekuwa ukiniwasha washa kwene urethra hadi unatamani uigize kakitu ukune, lakini pia nikibana mkojo kidogo tumbo linajaa na mara nying tumbo linakuwa linaweweseka as if mtu ana hofu fulani hivi
Nimetumia dawa nyingi tu lakini hazinisaidi, mimi ndio mwenye tatizo pengine nahisi ni UTI au chango, hadi nashndwa kuelewa
Kwa anayejua tatizo anisaidie kiutaalamu na kiuzoefu zaid ili niweze kupona
Nimetumia dawa nyingi tu lakini hazinisaidi, mimi ndio mwenye tatizo pengine nahisi ni UTI au chango, hadi nashndwa kuelewa
Kwa anayejua tatizo anisaidie kiutaalamu na kiuzoefu zaid ili niweze kupona