Nikifikiria ujauzito mwili unaishiwa nguvu kwa kuwa sijampenda kutoka moyoni

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue

Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima la kumuoa, kajikuta amedata. Siku ya jana mida ya saa 11 jioni wakati natoka mizungukoni, nikakuta mazingira hayana nzi, nikamvuta ndani nikala tunda kimasihara

Japo nilitumia njia ya asili ya kudhibiti ujauzito, njia ya kumwaga nje, bado moyo wangu umejawa na wasiwasi mkubwa sana kwa kuwa nimejaribu kuuliza kwa wadau kama hii njia inafanya kazi, wameishia kuniambia kuwa nimeyakanyaga, nilikwenda round moja tu. Truth of all Sijampenda kimwonekano, ukiachana na hilo sidhani kama naweza kuongeza mzigo wa kuitwa Baba wa mtoto wa mwanamke mwingine cause uchumi wangu hauruhusu, kama nitaforce nitajikuta nshaukwaa mwili wa Leonardo

Nachotaka kufahamu ni uwezekano wa huyu binti kuwa mjamzito, maake yeye binafsi hajijui. She is from Bush
20240829_221703.jpg
 
Withdrawal sio njia salama maana kwanza yale maji maji ya mwanzo ama pre ejaculation fluid hua yana mbegu za kiume na yanaweza kutumgisha mimba.

Yaani bora tu uache siku zipite ila withdrawal ni kama umetwanga maji kwenye kinu. Sema wanawake wana mambo mengi unaweza kupiga danger zote na ukamwaga ndani na bado asisishe mimba. So wewe sasa fanya tu maombi ama mlazimishe ameze p2 kama ulipiga show jana.
 
Kwamba unatangazia umma kwamba umepiga kavu demu wa kuokota tu mtaani
 
Yaani shida sio kavu mkuu, shida ni ujauzito. Kama akiwa na doa tutazingatia dozi tu mkuu. Ujauzito ndo kimbembe, siwezi kulea. Pia binti yenyewe haina umbo maalumu
 
Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue

Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima la kumuoa, kajikuta amedata. Siku ya jana mida ya saa 11 jioni wakati natoka mizungukoni, nikakuta mazingira hayana nzi, nikamvuta ndani nikala tunda kimasihara

Japo nilitumia njia ya asili ya kudhibiti ujauzito, njia ya kumwaga nje, bado moyo wangu umejawa na wasiwasi mkubwa sana kwa kuwa nimejaribu kuuliza kwa wadau kama hii njia inafanya kazi, wameishia kuniambia kuwa nimeyakanyaga, nilikwenda round moja tu. Truth of all Sijampenda kimwonekano, ukiachana na hilo sidhani kama naweza kuongeza mzigo wa kuitwa Baba wa mtoto wa mwanamke mwingine cause uchumi wangu hauruhusu, kama nitaforce nitajikuta nshaukwaa mwili wa Leonardo

Nachotaka kufahamu ni uwezekano wa huyu binti kuwa mjamzito, maake yeye binafsi hajijui. She is from BushView attachment 3082368
Hivi ww unataka kunambia bora ukimwi kuliko mimba.
Kama unajua uchumi wako si mzuri why utakane na mwanamke mwingine au unatest kama inaweza kusimama hadi kwa mchepuko
 
Back
Top Bottom