Nikigraduate tu, siwezi kutafuta maisha Tanzania, naanza na Botswana

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Ajira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm..

Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia.

Bongo Sina future napo.
 
Botswana wanaruhusu Yale mambo yenu
 
Sasa Botswana kunana si bora uzame bush ukaruvuge ardhi kilimo na ufugani au mmezoea kuajiriwa hamtaki kujichanganya
 
Dunia kwa sasa imekuwa ya ovyo sana.

Usipotumia akili, utajikuta unaenda kufirwa huko mbele.

Huko Botswana unakosema nchi sehemu kubwa ni jangwa, na gharama za maisha ziko juu.

Huko Ulaya na Marekani watu wanapambana kupakimbia kila siku, kwasababu kodi hazilipiki. Utajikuta unaenda kuokota makopo tu na kulala nje, na kule kuna barafu.

Hao majimama ya kizungu unayosema ,kwasasa na yenyewe yanatafuta watumwa. Watu wanatumikishwa kazi 2 au 3 kulipa kodi ya nyumba na chakula tu.

Utaolewa na jimama la kizungu lina madeniiii ya credit card, kodi za nyumba au mortgage ya miaka 30 utateseka.

Utatumikishwa kama kibaka, huku na ukibahatika kutoka Job unakuta linafuga mbwa unaogesha mbwa na kupeleka clinic😅😅

Utarudi bongo, ukibahatika uko hoiiiiiiiii.

Huko Saudi arabia, Qatar, Oman wanaongoza kwa kutafuta wafanyakazi. Wakenya wanaenda sana huko kufanya kazi za ulinzi na ujenzi na huwa wanarudi wako hoiiii, hali mbayaaaaaa😅😅

====

Kwa sasa taasisi ya Benjamin Mkapa wamekula dili la Udalali.

Ajira za Qatar, Saudi Arabia za kumwaga sana, ili usije kusema hukuambiwa.


View: https://x.com/MkapaFoundation/status/1910930146992779517?t=-V5MQDEj-TUu5kZ77-1N9w&s=19
 
SAWA kila la kheri!
 
Aloooh... Kuna mwizi kaiba simu kashindwa kuiuza kairudushaaaaaa....
Unajua kwanini...???
 
Wewe umewai kwenda nchi gani?? Ukute mtoto wa mama mpaka ajira umetafutiwa na mama ako
 
Siwezi kukurupuka kwenda huko.

Na siwezi kwenda nje kujitafuta,lazima nipate ramani inayoeleweka hata kama ni ya kubeba box.
Sasa mm nina ramani zotee, sijakulupuka.
Nina wanangu kibao ni maaagent huko mchawi nauli na viza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…