Kelvin35
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,199
- 1,833
ulivyotiririka na hiyo ngoma na uhakika kwa mtu mwenye umri kama wa mshana/kiranga asingewezaAhahha kwanini
ulivyotiririka na hiyo ngoma na uhakika kwa mtu mwenye umri kama wa mshana/kiranga asingewezaAhahha kwanini
😂😂😂😂😂😂 Mkuu mimi nipo basata hapa ndo mana kuna mambo nakua najua kama hayo..ulivyotiririka na hiyo ngoma na uhakika kwa mtu mwenye umri kama wa mshana/kiranga asingeweza
Story za chuo bana et chin ya M cfanyi kuja kuhamaki hata sehemu ya kujitolea ni kaz kupata.Nikafikiri umeshagraduate kumbe bado,wenzako walisema hawatafanya kazi under 1M,lakini kinachojili sicho,shukuru kwa chochote Bwana Mdogo!