Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Yani umeleta uzi ila kichwani ulijpanga kuwa yoyote atakae toa ushauri usio upenda ni mkwamishaji kwako, hivyo naona kila anaechangia vile usivyopenda unapita nae.Siwezi kukurupuka kwenda huko.
Na siwezi kwenda nje kujitafuta,lazima nipate ramani inayoeleweka hata kama ni ya kubeba box.
Walisema hawatafanya kazi ofisi isio na Wifi na Air conditioning, watu hao kwa sasa wanasajili laini mtaaniNikafikiri umeshagraduate kumbe bado,wenzako walisema hawatafanya kazi under 1M,lakini kinachojili sicho,shukuru kwa chochote Bwana Mdogo!
Nauli Wakusaidie, ukifika job utawapa..Sasa mm nina ramani zotee, sijakulupuka.
Nina wanangu kibao ni maaagent huko mchawi nauli na viza
Mimi ndio nimeleta UZI??Yani umeleta uzi ila kichwani ulijpanga kuwa yoyote atakae toa ushauri usio upenda ni mkwamishaji kwako, hivyo naona kila anaechangia vile usivyopenda unapita nae.
Pole pole Mkuu hata hao usiopenda maoni yao kuna point ndani yake jitahidi kuzisoma
Shule zinafunguliwa liniAjira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm..
Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia.
Bongo Sina future napo.
Safi Ahsante kwaiyo mkuu unaungana na Mimi niende kusaka pesa sio?Nauli Wakusaidie, ukifika job utawapa..
VISA unapata kama utaonesha umeshapata kazi, utaombewa na kampunininayokuta.
Ongea nao vizuri, kuna mambo watakuwa hawakwambii.
Wasikwambie tu kuhusu pesa.
Pesa za Marekani ni tamu ukiwa nazo bongo.
Ulaya hazisaidii kitu
Unanisaidia mimi hizo pesa au ni maslahi yako?Safi Ahsante kwaiyo mkuu unaungana na Mimi niende kusaka pesa sio?
Alinacha alikua muuza vikombe vya kaure sasa jua lishampata akapumzika kwenye mti wa kivuli na vikombe kaviweka kwenye nyayo apo sasa akaanza kupiga mahesabu ya kua baada ya kuuza vikombe atafanya hili mara lile mpk kufikia ndoto ya kujenga ghorofa mara akaota kateleza na vikombe akavivunja na stori yake ya utajiri ikaishia hapo. Hhhhhh alitutolea Mwalimu wetu siku ya mahafali f4 2015.hivi alinacha alifanya nini mpaka kuwa maarufu hiv?
Ngoja kwanza u graduate ndo uje kutuambia kabisa 😌 Ayo maneno yakoAjira ni ngumu, lakini duniani huko ajira ni nyingi sana, Bora nikawe mlinzi Dubai kuliko kuwa mlinzi wa Suma jkt hapo dsm..
Nikiwa nje nitafanya KAZI yoyote mpaka nitoboe kama itapendeza ntaoa jimama la kizungu linipe uraia.
Bongo Sina future napo.
Show nakubali mkuuUmaskini siyo sifa. Kapambane mwanetu
Hata mimi siwezi kukurupukaSiwezi kukurupuka kwenda huko.
Na siwezi kwenda nje kujitafuta,lazima nipate ramani inayoeleweka hata kama ni ya kubeba box.
Ngoja na mimi nizamie USA niokote makopo bana.
Hakika,yamtaani yanatisha ila ndo yalivyo,naamini ataishi nayo...Walisema hawatafanya kazi ofisi isio na Wifi na Air conditioning, watu hao kwa sasa wanasajili laini mtaani
Ahahha kwaniniila we jama una miaka 28 eti