Kelvin35 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2023 Posts 1,199 Reaction score 1,833 Apr 18, 2025 #41 Poor Brain said: Ahahha kwanini Click to expand... ulivyotiririka na hiyo ngoma na uhakika kwa mtu mwenye umri kama wa mshana/kiranga asingeweza
Poor Brain said: Ahahha kwanini Click to expand... ulivyotiririka na hiyo ngoma na uhakika kwa mtu mwenye umri kama wa mshana/kiranga asingeweza
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 Apr 18, 2025 #42 Kelvin35 said: ulivyotiririka na hiyo ngoma na uhakika kwa mtu mwenye umri kama wa mshana/kiranga asingeweza Click to expand... ππππππ Mkuu mimi nipo basata hapa ndo mana kuna mambo nakua najua kama hayo.. Pia nipo karibu na vijana
Kelvin35 said: ulivyotiririka na hiyo ngoma na uhakika kwa mtu mwenye umri kama wa mshana/kiranga asingeweza Click to expand... ππππππ Mkuu mimi nipo basata hapa ndo mana kuna mambo nakua najua kama hayo.. Pia nipo karibu na vijana
Nyarupala JF-Expert Member Joined Jun 2, 2024 Posts 676 Reaction score 1,118 Apr 18, 2025 #43 Juzi nimeota niko ulaya , bahati mbaya ilikuwa nikiona polisi nakimbia... Kumbe kumekucha saa 12 asubuhi BBC na matangazo yao bwanaπππ niliwasha redio tangu saa 10 usiku
Juzi nimeota niko ulaya , bahati mbaya ilikuwa nikiona polisi nakimbia... Kumbe kumekucha saa 12 asubuhi BBC na matangazo yao bwanaπππ niliwasha redio tangu saa 10 usiku
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 19, 2025 #44 Kila la kheri... Cc: Mahondaw
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,818 Reaction score 8,451 Apr 19, 2025 #45 Tanzania One 2024 said: Nikafikiri umeshagraduate kumbe bado,wenzako walisema hawatafanya kazi under 1M,lakini kinachojili sicho,shukuru kwa chochote Bwana Mdogo! Click to expand... Story za chuo bana et chin ya M cfanyi kuja kuhamaki hata sehemu ya kujitolea ni kaz kupata.
Tanzania One 2024 said: Nikafikiri umeshagraduate kumbe bado,wenzako walisema hawatafanya kazi under 1M,lakini kinachojili sicho,shukuru kwa chochote Bwana Mdogo! Click to expand... Story za chuo bana et chin ya M cfanyi kuja kuhamaki hata sehemu ya kujitolea ni kaz kupata.