Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Anzia hapo hapo 😂😂Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?
Pesa ipo.
Chato burigiNimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?
Pesa ipo.
Hivi kwa nini kila siku watanganyika nanisumbua kwa mali zangu mimi ROSTAM AZIZI ....nani kakuambia kuwa nauza Mbuga zangu za serengeti na mikumi na nyinginezo .....Tembo wangu wamezidi kunenepa sana. Siwezi kumuuzia mtu nyara zangu.Nimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?
Pesa ipo.
Niuzie mimi mkuu, wewe ndio dalali mkuu?Hivi kwa nini kila siku watanganyika nanisumbua kwa mali zangu mimi ROSTAM AZIZI ....nani kakuambia kuwa nauza Mbuga zangu za serengeti na mikumi na nyinginezo .....Tembo wangu wamezidi kunenepa sana. Siwezi kumuuzia mtu nyara zangu.
Demu mkali kinomaHuyu anauza kivutio chake mkuu, mimi kaniambia nimtangazie jambo lake...View attachment 3675941
Njoo nikuajili kwenye kazi ya kuvuna meno ya ndovu ...msimu huu nataka kuvunja recodi ya uvunaji.Niuzie mimi mkuu, wewe ndio dalali mkuu?
Labda uje wewe nikuajiri kwenye bandari zangu uwe kuli mwandamiziNjoo nikuajili kwenye kazi ya kuvuna meno ya ndovu ...msimu huu nataka kuvunja recodi ya uvunaji.
Du umenikumbusha mbali sana ...sijui mlichezaje hadi mkapewa bure kabisq bandari tena milele na mimi kuambulia mikono mitupu ...safari hii kuna yule mzimbabwe naye ananiletea shida hadi kapewa GETO IKULU ROOM NO 7....SAFARI HII LAZIMA NIKABIDHIWE JWTZ NILIFANYE KUWA KAMPUNI LANGU LA ULINZI... SECURITYLabda uje wewe nikuajiri kwenye bandari zangu uwe kuli mwandamizi
kuna kisiwa chetu pendwa cha Unguja njoo na 3T USD tukukabidhi chote, wazanzibari tunawahamishia BARANimesikia milango ya uwekezaji iko wazi, napata wapi dalali aniuzie mbuga zote na ikiwezekana kuwafukuza wakazi wote waishio karibu nazo ili kuepusha bugudha?
Pesa ipo.
Hii dili safi sana.kuna kisiwa chetu pendwa cha Unguja njoo na 3T USD tukukabidhi chote, wazanzibari tunawahamishia BARA