Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Yaani ukifikiria jinsi mtu unavyo hangaika mpaka jasho la meno Ili upate chappa uishi vizuri.
Halafu ufikirie kufa unaona yani kama unapoteza wakati vile maana utavitafuta weee alafu hata hauenjoy yan paaap umedanja wanafaidi wengine jasho lako
Huwa inanikata moto yani nikifikiria kufa naona hii dunia kama hainitendei haki vile bado ujakutana na vikwazo vya shetani hapo mara umebaka miaka 30 jela mala umegongwa umevunjika nyonga tabu tupu
Ukifa sasa Sir GOD anakusubiri kwa hamu sana akupe malipo yako humu duniani et kila kitu cha shetani yaan madem walivyo wakali halafu unambie hata kuwatamani tu ni zambi aaawapii bado kitu cha bia ujacheza mapiano za tembo et vyote dhambi jamani eeeee
Mbona hii dunia inatunyima utamu hasa hii dini yetu acha tu wanaume tulivyo na tamaa na kukinai radha moja unambie kuoa ni mke mmoja tu na sisi wenye nyota ya kunguni umeoa bondia humo ndani et huwezi kuachna na ukiforce ukaoa umezini kwaiyo hata kama unadundwa na mke uvumilie tu ndo pepo itafunguka kwetu
Dunia tamu sema BABA yetu katuzuia vyote sijui kama nitaweza maana naona labda nisingekuwepo humu duniani ningeweza
NIMEICHOKA DUNIA KUJIUA NAPO ZAMBI SHIDA TUPU.