Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

Ungeumbwa panya naamini bado ungelalamika tu...
 
Mshaurini aende kwa mwanasaikolojia haraka Sana.

By the way watu kama Hawa hua naona bora wafe kwa sababu ni hatari wanaweza wasababishia wengine majanga kwa hiyo msiwazuie..

Hujaskia mwingine alotaka kuua familia na yeye ajinyonge Kisa maisha magumu na akiwaacha hai eti watayeseka.
kufikia uamuzi wa kujiua its no joke ujue..tupendane,tujengane,tusaidiane,haya maisha hamna atayeyamaliza mzima..tuoneshaneni upendo.
 
K

kauli kama hizi unaweza ukazan unachekesha,ila kwa watu wenye msongo wa mawazo,sonona au kuwa kwenye hali yoyote ya kukosa tumaini.Mtu anaweza akijiua kweli,mda mwingine kama hauna jambo zuri la kuongea ni bora ukae kimya..ni ushauri tu,life is real.
Mshaurini aende kwa mwanasaikolojia haraka Sana.

By the way watu kama Hawa hua naona bora wafe kwa sababu ni hatari wanaweza wasababishia wengine majanga kwa hiyo msiwazuie..

Hujaskia mwingine alotaka kuua familia na yeye ajinyonge Kisa maisha magumu na akiwaacha hai eti watayeseka.
kufikia uamuzi wa kujiua its no joke ujue..tupendane,tujengane,tusaidiane,haya maisha hamna atayeyamaliza mzima..tuoneshaneni upendo.
Watu wa hivyo siwataki,kama hawezi jithamini kamwe hawezi thamini wengine.Huyo awahi tuu.
 
Mshaurini aende kwa mwanasaikolojia haraka Sana.

By the way watu kama Hawa hua naona bora wafe kwa sababu ni hatari wanaweza wasababishia wengine majanga kwa hiyo msiwazuie..

Hujaskia mwingine alotaka kuua familia na yeye ajinyonge Kisa maisha magumu na akiwaacha hai eti watayeseka.

Watu wa hivyo siwataki,kama hawezi jithamini kamwe hawezi thamini wengine.Huyo awahi tuu.
nakuelewa mkuu,ila msaada uanzie hapo kwanini ashindwe kujithamini,is it by default au sisi sisi binadamu tunasababishiana haya? Ukiangalia matatizo mengi ya watu yamesababisha na watu wenyewe. Au huenda hata ni mental fault tu ambayo pia msaada unahitajika.
 
Kama kaumbwa hivyo wewe hakuna kitu utaweza kubadili.
 
Ila kwa kifupi mission yake haikuwa kufanya harakati wala kupigania uhuru wa kiyuda kama ulivyodai. Labda uhuru wa kifikra na tena kwa watu wote. Labda unijuze kwa hayo madai yako.
Umemezwa na propaganda za kirumi hao wahuni walivyoona jamaa ana wafusi wengi na kaawaamsha wengi wakatumia fursa ya kumpa uungu yaani wakisema alikua ni mwana wa miungu na wakamuundia dini Ili kuunganisha Watu wote wawe wamoja na hiyo KAZI aliifanya mfalme mwenye akili mingi Constantine na akafanikiwa Kwa kiwango kikubwa sana!
 
Yesu mwenyewe yalimshinda akaishia kula kichapo Kwa warumi maana alikua anawapigania raia wasiojielewa watoke mikononi mwa ukoloni wa warumi mwisho akadakwa na kusulubishwa mpaka akadanja,
Halafu unamshauri mwenzio aje Kwa Yesu kufanya Nini wakati hata yeye Hizo hustle zilimshinda?
Yesu alikuwa mwanaharakati kama Tundu Lissu.
 
Yesu alikuwa mwanaharakati kama Tundu Lissu.
Wengi hawalijui Hilo Kwa mfano nenda katazame filamu inaitwa Ben Hur inalezea kisa Cha jamaa mmoja wakuitwa Judah alikua mpigania uhuru nae alietokea familia ya kitajiri baadae akaja kuingia matatani na serikali ya warumi wakaja ikamata familia yake nzima baada ya dogo aliyekua mwasi kufanya tukio na wakati anakimbizwa yuda akamwona akamvuta na akamficha kwenye jumba lao hao wote walikua wamelishwa sumu na jamaa mmoja wakuitwa Yesu (Yashua) aliyekua carpenter kitaa na walikua wanamkubali sana maana alikua anawapa morale wanaharakati bubu wote
Baadae yule dogo akaja kufanya Soo baada ya kumpiga mshale kamanda wa warumi na ukamkosa ukampiga mlinzi wake baadae Siri ikajulikana yule kijana alikua mle ndani na familia ikaingia matatizoni dogo akakimbia
yuda akauzwa kama mtumwa kwenye meli za wanajeshi wa kirumi akiwa mpiga kasia kwenye mitambo ya merikebu ya kivita baahati nzuri meli zikagongana ikapasuka vipande na kizama ila yuda alisurvive maana alizimika akawa kashiklia mbao mpaka pwani ngeni akaokotwa na mfanya biashara wa Kush
(Mzee Morgan Freeman)
Akamtibia na kumpeleka kwenye challenge Moja ya kukimbiza magari ya farasi mjini Jerusalem na akishinda anakua free sio mtumwa Tena baada ya ushindi anakomboa mama na dada zake waliokua kama watumwa wa kingono kwenye majumba ya kufuru
Baadae anarudi kitaa anamkuta mchizi wake Yashua ndio kashikwa baada ya kujuliana ni Moja ya Watu hatari wanaoendesha harakati za kuwapinga warumi akiwa kabeba masalaba anaenda Golgotha kusulubiwa jamaa akamwona akaenda kumkumbatia na kumpa maji Askari wanamtoa kinguvu baade yule dogo anakuja kamatwa na anaunganishwa kwenye kesi kama mhalifu Pamoja na Yashua wanasurubiwa wakiwa msalabani Yesu anamwambia dogo Leo tunakufa Kwa ajili ya ukombozi wa Watu wetu,tukiwapigania

Yuda anaibeba familia yake na ya Yashua wanahama nayo akiifadhili maana kwenye mashindano alipata pesa nyingi sana za Watu waliombetia akiwa na Mzee freeman Morgan kama mfadhili wanaenda ishi mbali!

Hiyo ndio filamu ilioelezea uhalisia wa Yashua wa Nazareth kama mpigania uhuru sio Ile ya propaganda ikimuonesha ni Mwana wa Miungu na ametumwa na Mungu kama masihi afe Kwa dhambi za wakristo ni ya propaganda za kipumbavu sana ikificha uhalisia Ili Watu watawaliwe na genge la Watu wachache waliobuni huo uhuni kwenye Nicea committee!
 
Umeandika kitu chamaana sana haina haja .kugombania vitu vyaulimwengu huu
Na watu wengi hawaelewi nilicho maanisha hapa sijasema maisha yangu magumu au nataka kujinyonga ni meeleza vilivyopo moyoni kwamba hii dunia kama haiko fear kwa wote hasa kuangalia vitu vizuri na vitamu vingi vya shetani mbona iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom