Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Bosi, kwani shida iko wapi hasa? Naona umeandika uzi wa manung'uniko tu mwanzo mwisho! Yaani hutaki kufa, au! Unataka uishi milele!!Yaani ukifikiria jinsi mtu unavyo hangaika mpaka jasho la meno Ili upate chappa uishi vizuri
halafu ufikirie kufa unaona yani kama unapoteza wakati vile maana utavitafuta weee alafu hata hauenjoy yan paaap umedanja wanafaidi wengine jasho lako
hua inanikata moto yani nikifikiria kufa naona hii dunia kama hainitendei haki vile bado ujakutana na vikwazo vya shetani hapo mara umebaka miaka 30 jela mala umegongwa umevunjika nyonga tabu tupu
ukifa sasa Sir GOD anakusubiri kwa hamu sana akupe malipo yako humu duniani et kila kitu cha shetani yaan madem walivyo wakali halafu unambie hata kuwatamani tu ni zambi aaawapii bado kitu cha bia ujacheza mapiano za tembo et vyote dhambi jamani eeeee
mbona hii dunia inatunyima utamu hasa hii dini yetu acha tu wanaume tulivyo na tamaa na kukinai radha moja unambie kuoa ni mke mmoja tu na sisi wenye nyota ya kunguni umeoa bondia humo ndani et huwezi kuachna na ukiforce ukaoa umezini kwaiyo hata kama unadundwa na mke uvumilie tu ndo pepo itafunguka kwetu
dunia tamu sema BABA yetu katuzuia vyote sijui kama nitaweza maana naona labda nisingekuwepo humu duniani ningeweza
NIMEICHOKA DUNIA KUJIUA NAPO ZAMBI SHIDA TUPU.
Hilo sahau mkuu. Siku yako ikifika, utakwenda kaburini. Utake usitake. Na tutakuhifadhi kwenye hii kitu ⚰️ huku ukiwa umelala na tabasmu murua kabisa! Yaani kama hujafa vile! 😁😁😁😁 Baada ya hapo, tutakupeleka makaburini na kukufukia kwenye shimo la futi 6 na ushee, na miaka kadhaa mbele utakuwa umeshaliwa na finyi, na hivyo utageuka kuwa skeleton ☠️💀
Hivyo ujitahidi tu kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hapa duniani, maana huijui kesho yako.