Nikiifikiria dunia, naona bora hata nisingekuwepo tu

Bosi, kwani shida iko wapi hasa? Naona umeandika uzi wa manung'uniko tu mwanzo mwisho! Yaani hutaki kufa, au! Unataka uishi milele!!

Hilo sahau mkuu. Siku yako ikifika, utakwenda kaburini. Utake usitake. Na tutakuhifadhi kwenye hii kitu ⚰️ huku ukiwa umelala na tabasmu murua kabisa! Yaani kama hujafa vile! 😁😁😁😁 Baada ya hapo, tutakupeleka makaburini na kukufukia kwenye shimo la futi 6 na ushee, na miaka kadhaa mbele utakuwa umeshaliwa na finyi, na hivyo utageuka kuwa skeleton ☠️💀

Hivyo ujitahidi tu kuishi maisha ya kumpendeza Mungu hapa duniani, maana huijui kesho yako.
 
Natamani na ninajua hilo ila sikuzote mawazo ya dhambi huniangusha muda mchache baada ya kuweka dhamira ya kuwa mtakatifu
 
Kuhusu kuoa wewe oa hata kumi..sio kosa ule ulikua ushauri tu mzee baba..ndio mana huwezi kutahiyo sheria ya uwe na mke mmoja kwenye amri kumi.

#MaendeleoHayanaChama
Kwa ambao tunaijua kweli ila inatushinda tunajua ni dhambi kama kuzini tu
 
Ndiyo maana Mungu aliweka fumbo juu ya kifo Cha mwanadamu light tungejua siku na wakati wa kifo chetu
Huenda tusingefanya maendeleo, matokeo yake Dunia ingedumaa

Wako wapi akina mtemi Mirambo, kinjekitile, mkwawa, Mangungo
Julius Nyerere,Nelson Mandela, Mobutu, Kenyata, obote nk
Light wangekuwa na akili na Mawazo kama yako tusingekuwa hapa hii Leo.

Mungu alikuwa na maana yake kuweka kifo.
 
Yesu mwenyewe yalimshinda akaishia kula kichapo Kwa warumi maana alikua anawapigania raia wasiojielewa watoke mikononi mwa ukoloni wa warumi mwisho akadakwa na kusulubishwa mpaka akadanja,
Halafu unamshauri mwenzio aje Kwa Yesu kufanya Nini wakati hata yeye Hizo hustle zilimshinda?
 
Vita vya Yesu hakua dhidi ya warumi..ndio mana alisema mpeni kaisari vyake na Mungu mpeni vyake..pia alisema tubuni mkabatizwe..ili muweze kuupata ufalme wa mbinguni.

By the way vita vyetu sio vya damu na nyama..bali vita vya kiroho dhidi ya uovu.

Sio kama wale wanaompigania mungu kwa kuua binadamu wenzake.

#MaendeleoHayanaChama
 
K
Kuna option ya kujinyonga mkuu,itumie for free 🏃🏃
kauli kama hizi unaweza ukazan unachekesha,ila kwa watu wenye msongo wa mawazo,sonona au kuwa kwenye hali yoyote ya kukosa tumaini.Mtu anaweza akijiua kweli,mda mwingine kama hauna jambo zuri la kuongea ni bora ukae kimya..ni ushauri tu,life is real.
 
Either hujui na unahitaji kujuzwa au unajua na umeamua kufanya masihara,ila to each is own.
 
Wewe Yesu au walimwita Yashua alikua mwanaharakati mpigania uhuru Huko Palestine zama za warumi Na wengi walimtegemea kamankama masihi mkombozi atakae wakomboa kutoka mikononi mwa warumi na alitumia Lugha ya mafumbo na Sanaa kufikisha ujumbe Kwa Wayuda waungane kumtoa mkoloni mrumi
Huyo Yashua alikua Carpenter in professional na alifanya harakati zake kimafumbo akipita akihubiri upendo na umoja Kwa Wayuda wote waungane wawe Moyo mmoja kama ule upendo wa baba Yao (Waasisi wa Taifa lao)
Walivyokua wamoja na kuunda Taifa lao Kwa umoja Hivyo wawe wasafi mioyoni mwao (Wazalendo) waungane
kumshinda Shetani
(utawala wa warumi)

Baadae akaja salitiwa na Watu wa Karibu yake akadakwa baada ya warumi kuuziwa Siri na akasurubiwa na kuuwawa.

Baadae wafuasi wake wakaja tengeneza nadharia nyingi Kwamba alifufuka na kupaa kwenda mbinguni Kwa baba yake (Babu zao walikufa)
Na ipo siku atarudi kama masihi kuwakomboa kutoka mikononi mwa warumi hiyo ni baada ya Wayuda kukata tamaa Kwa yule mtu waliemtegemea atawaletea ukombozi na uhuru kusulubiwa na kufa,
Baadae mtu mmoja aliyekua myuda mwenye cheo Cha juu katika milki ya warumi Kwa jina la Saul au Poul akaanzisha harakati za kuikomboa nchi yake baada ya kuona ndugu zake wanateseka na ukoloni akaacha kua afisa na kuanza kuzunguka maeneo mengi ya dola ya rumi kuwahamasisha Wayuda wote waungane na watoe michango Yao kuikomboa nchi Yao akitumia falsafa za Yesu (Yashua)
Kutimiza azma yake na ndio falsafa za umasihi ukazaliwa hapo na ukakubalika Sana middle east yote mpaka Kwa Watu wasio Wayuda nao wakawa wafuasi lengo ni kupigana na warumi baadae warumi wakavamia Jerusalem baada ya resistance kubwa Sana na wakawachukua Wayuda utumwani kama adhabu maana wao ndio walikua waanzilishi wa harakati
Lakini resistance iliendelea Kwa Miaka mingi mpka pale warumi wakaamua kuibadilisha mifumo ya utawala Kwa kuunda dini ya kikristo Ili kuweza tawala na kukubalika na Watu wengi!
 
Mshaurini aende kwa mwanasaikolojia haraka Sana.

By the way watu kama Hawa hua naona bora wafe kwa sababu ni hatari wanaweza wasababishia wengine majanga kwa hiyo msiwazuie..

Hujaskia mwingine alotaka kuua familia na yeye ajinyonge Kisa maisha magumu na akiwaacha hai eti watayeseka.
 
unijuze kuhusu Nini Kwamba Yesu (Yashua)
Alikua mwanaharakati na mpigania uhuru wa kiyuda Kule Palestine ya kale na akauawa na warumi Kwa kusulubishwa?
Ila kwa kifupi mission yake haikuwa kufanya harakati wala kupigania uhuru wa kiyuda kama ulivyodai. Labda uhuru wa kifikra na tena kwa watu wote. Labda unijuze kwa hayo madai yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…