Yesu alikuwa mwanaharakati kama Tundu Lissu.
Wengi hawalijui Hilo Kwa mfano nenda katazame filamu inaitwa Ben Hur inalezea kisa Cha jamaa mmoja wakuitwa Judah alikua mpigania uhuru nae alietokea familia ya kitajiri baadae akaja kuingia matatani na serikali ya warumi wakaja ikamata familia yake nzima baada ya dogo aliyekua mwasi kufanya tukio na wakati anakimbizwa yuda akamwona akamvuta na akamficha kwenye jumba lao hao wote walikua wamelishwa sumu na jamaa mmoja wakuitwa Yesu (Yashua) aliyekua carpenter kitaa na walikua wanamkubali sana maana alikua anawapa morale wanaharakati bubu wote
Baadae yule dogo akaja kufanya Soo baada ya kumpiga mshale kamanda wa warumi na ukamkosa ukampiga mlinzi wake baadae Siri ikajulikana yule kijana alikua mle ndani na familia ikaingia matatizoni dogo akakimbia
yuda akauzwa kama mtumwa kwenye meli za wanajeshi wa kirumi akiwa mpiga kasia kwenye mitambo ya merikebu ya kivita baahati nzuri meli zikagongana ikapasuka vipande na kizama ila yuda alisurvive maana alizimika akawa kashiklia mbao mpaka pwani ngeni akaokotwa na mfanya biashara wa Kush
(Mzee Morgan Freeman)
Akamtibia na kumpeleka kwenye challenge Moja ya kukimbiza magari ya farasi mjini Jerusalem na akishinda anakua free sio mtumwa Tena baada ya ushindi anakomboa mama na dada zake waliokua kama watumwa wa kingono kwenye majumba ya kufuru
Baadae anarudi kitaa anamkuta mchizi wake Yashua ndio kashikwa baada ya kujuliana ni Moja ya Watu hatari wanaoendesha harakati za kuwapinga warumi akiwa kabeba masalaba anaenda Golgotha kusulubiwa jamaa akamwona akaenda kumkumbatia na kumpa maji Askari wanamtoa kinguvu baade yule dogo anakuja kamatwa na anaunganishwa kwenye kesi kama mhalifu Pamoja na Yashua wanasurubiwa wakiwa msalabani Yesu anamwambia dogo Leo tunakufa Kwa ajili ya ukombozi wa Watu wetu,tukiwapigania
Yuda anaibeba familia yake na ya Yashua wanahama nayo akiifadhili maana kwenye mashindano alipata pesa nyingi sana za Watu waliombetia akiwa na Mzee freeman Morgan kama mfadhili wanaenda ishi mbali!
Hiyo ndio filamu ilioelezea uhalisia wa Yashua wa Nazareth kama mpigania uhuru sio Ile ya propaganda ikimuonesha ni Mwana wa Miungu na ametumwa na Mungu kama masihi afe Kwa dhambi za wakristo ni ya propaganda za kipumbavu sana ikificha uhalisia Ili Watu watawaliwe na genge la Watu wachache waliobuni huo uhuni kwenye Nicea committee!