siumwi ukeni naumwa tumbo la chiniKalia kwwnye beseni la maji ya uvugu vugu best
tulifanya tu taratibu labda sehemu za yule bwana ndo hazikuwa sawa kwanguTatizo hukuwa na mazoezi na mmetumia staili ambazo zimetumika ni zaidi ya kambare lazima iwe hivo tena usisahau kujikanda na kumeza panado maana ulisipofanya hayo kesho utatembea "tambereja" na siku nyingine uwe makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhh inamana atakua ametingisha kizazi lol sijui uume wa dizaini gani huo pole mno. Sasa ww umekaa miaka 5 yote hiyo ukaenda na mtu mwenye mdudu mkubwa hivyo si ungetafuta mwenye kibamia wa kupalainisha kwanza.siumwi ukeni naumwa tumbo la chini
Duh. Alokujamisha siangekupeleka home. Halafu hujaolewa unajamiiana?? Subiri ukiolewa tumbo halitauma. Usikimbilie mambo ya wakubwa.sina hamu kwa kweli hata kutembea siwezi .hata nyumbani nimefika tu kwa kubahatisha
Huenda malengo yake ya shule siyo malengo mpk iwe ndoaHaujatimiza. Ndio maana ulienda kufanyia nje halafu unarudi kwako/kwenu. Haaa haaaa haaaa
Dawa ni rudia zoezi practice make perfectmbona hamniambii dawa bali mnanijadili?
Hiyo ni dalili ya P.I.D ugonjwa unaonezwa kwa njia ya kijamiiana. Kwani mlifanya bila ya kinga?siumwi ukeni naumwa tumbo la chini
Dawa nikuacha uzinzi. Vodafasta sio nzuri ndo maana wanagandaniza tu bila maandalizimbona hamniambii dawa bali mnanijadili?