Nikijamiana naumwa sana tumbo mpaka siwezi kutembea

Nikijamiana naumwa sana tumbo mpaka siwezi kutembea

Kalia kwwnye beseni la maji ya uvugu vugu best
 
Tatizo hukuwa na mazoezi na mmetumia staili ambazo zimetumika ni zaidi ya kambare lazima iwe hivo tena usisahau kujikanda na kumeza panado maana ulisipofanya hayo kesho utatembea "tambereja" na siku nyingine uwe makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulifanya tu taratibu labda sehemu za yule bwana ndo hazikuwa sawa kwangu
 
Pole sana...vipi mdau alitumia
"Vumbi la Kongo?? "

Maana hiyo kitu ukigusisha tu kwenye kichwa kitu ikagusana na ngozi basi wewe maji utaita mma aa....
 
siumwi ukeni naumwa tumbo la chini
Mhhh inamana atakua ametingisha kizazi lol sijui uume wa dizaini gani huo pole mno. Sasa ww umekaa miaka 5 yote hiyo ukaenda na mtu mwenye mdudu mkubwa hivyo si ungetafuta mwenye kibamia wa kupalainisha kwanza.
 
Itakuwa hangover ya kukaa mda mrefu kapate kimoja cha nguvu utoe lock
 
Yani hiyo ni sawa na kupiga zoezi la uchura kwa mara ya kwanza, kesho utaamka mapaja yanauma. Pole sana
 
Aisee possibly umegusa kizazi. Muone Dr. Unaweza ukajikaza halafu ikaja kuwa shida na usizae tena. Nenda kamuone Dr. Kwa msaada zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahhahaha mambo ya kujifanya kukata kiuno kama feni mbovu dadeq na lijamaa linapampu mwanzo mwisho lazima uone video.

Dawa yake, jipe muda litatulia
 
Back
Top Bottom