Nikijamiana naumwa sana tumbo mpaka siwezi kutembea

Nikijamiana naumwa sana tumbo mpaka siwezi kutembea

mamiake

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
270
Reaction score
332
Nina miaka mitano sijawahi kukutana na mwanaume. Nimefanya mapenzi naumwa sana tumbo siwezi hata kutembea. Naombeni ushauri.
 
Angalia ile crip ya yule mwalimu alivyokua anawaimbisha mchakamchaka wanafunzi wake ipo humu jukwaani so take easy ni lazima ulegee utapona tu
 
Piga mechi nyingine ya kufa mtu tumbo utasikia ahueni. Usikae tena miaka yote bila kupiga mechi.
siwezi hata kusimama tumbo la chini linauma sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umekutana dereva Lena (L)..yeye hana maandalizi ni kuchomeka mwanzo mwisho...pole, ukiwa na hamu next time ni PM...nitakuyeyusha kama barafu, na utakuwa mlaini kama mlenda, na nitakupa nafasi ya kufunga magoli yako utakavyo na kuyafurahia mahaba..na hutasikia kuumwa tumbo tena....
 
Pole sana.
Aiseeeeeeeh nenda hospitali ila waone wataalamu wa afya za uzazi watakusaidia.

Tatizo ni kuangalia filamu chafu kisha mnajaribu kuweka kwenye vitendo bila kujua kuwa wenzenu wanaigiza Yale mambo na uhalisia ni kidogo sana.
 
pole mwaya ndo ukubwa huo,tafuta maji ya moto na kitambaa ujikandekande.
 
Vumbi la kongo halijawahi kumwacha mtu salama hata walio kubuhu wanalia.
 
Acha utani nenda hospitali,
kama umekutana na nchi tisa
inaweza kuwa imefumua kizazi
mpaka ng'ambo ya pili.
Hospitali utapata majibu yote
na matibabu ikilazimu.
 
Hiyo ni kaswende nenda kwa mkemia ukapime mkojo
 
Back
Top Bottom