Nikikaa muda mrefu nawashwa sana makalio, hii imekaaje?

Ex-Tabora boys student, are you? The way you call the buttocks hahaaa pole ndugu
 
Engineer wote [emoji115] [emoji115] [emoji115] wamekupa ushauri khs tatizo lako.
Ndy ufanye maandaliza saa hz uende Pharmacy uweze kununua tablets za Minyoo ili mapemaa alfajiri upate kuzitumia.

Dah... Asante sana mzee franksarry na mazee wote humu MMU...

Kumbe mna moyo wa kusaidiana mazee....
Tatizo sometimes mnakua na mambo ya KIBOYA..
Ndo Maana huwa NAWACHANA KISHENZ...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 


Ni makalio kwa ujumla...
Asante sana kwa ushaur wenye maelezo ya kina..
Dah... Hadi naanza kupata hisia za mapenz juu yako... MUMEO atakua anafaidi...
Ama we ni mwanaume!!!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Punguza kitimoto mkuu, una minyoo iliyotoka kwenye kitimoto isiyoivishwa
 
Mkuu kapime minyoo au kaswende japo kaswende kuigundua ni vigumu mpaka uchunguze historia vizuri
 
Ha ha ha. Bora uwe umesimama karibu na ukuta imagine wewe ni lecturer ama mwalimu afu ndio muwasho umekolea sasa

Unavumilia mpaka jasho linakutoka na mimacho inakuwa mekundu shingo inakaza..kifuatacho lazima uje jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…