Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitafuta dozi ya minyoo kama nilivyoshauriwa tatizo likaishaWe dada ndio ulikuwa ukilalamika mkunduu unakuwasha vipi sasa hivi haukuwashi tena??
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/13660648
Engineer wote [emoji115] [emoji115] [emoji115] wamekupa ushauri khs tatizo lako.
Ndy ufanye maandaliza saa hz uende Pharmacy uweze kununua tablets za Minyoo ili mapemaa alfajiri upate kuzitumia.
Hata mimi nishawahi kuwa na hill tatizo hadi ikabidi nilete thread JF doctor.
Nilishauriwa nimeze dawa za minyoo na ilisaidia tatizo likaisha kabisa.
Ila pia inatagemea unawashwa sehemu ya haja kubwa au makalio kwa ujumla.
Kama ni sehemu ya haja kubwa ni minyoo.
Kama ni makalio kwa ujumla inatokana na material ya nguo za ndani unazovaa ndio zinapelekea ukikas muda mrefu unawashwa.
Ikiwa tatizo ni hilo badili material yawe ya cotton itasaidia
Hiyo ni minyoo na kama sio bas utakuwa unapenda xna kuvaa boxer mbichi au ukitoka kuoga hujifut maji makalion unavaa tu
halafu akifua anaanika mvunguni anasubiria ikaauke anaivaa mbichi maengineer watu wa ajabu sana isipokuwa boss wanguNyie ndio mnavaa boxer mwezi mmoja bila kufua?
Ha ha ha. Bora uwe umesimama karibu na ukuta imagine wewe ni lecturer ama mwalimu afu ndio muwasho umekolea sasaUkiingia jf lazima ucheke. Sipati picha takko likiwasha huku kuna watu wengi...teh teh!
Wengine wanazamisha mkono eti!!Ukiingia jf lazima ucheke. Sipati picha takko likiwasha huku kuna watu wengi...teh teh!
halafu akifua anaanika mvunguni anasubiria ikaauke anaivaa mbichi maengineer watu wa ajabu sana isipokuwa boss wangu
Kapata UTI ya mattako . Namshauri amuone @ mzizi mkavuhalafu akifua anaanika mvunguni anasubiria ikaauke anaivaa mbichi maengineer watu wa ajabu sana isipokuwa boss wangu
Unajitafutia emergency unatoka unakwenda toi...Ha ha ha. Bora uwe umesimama karibu na ukuta imagine wewe ni lecturer ama mwalimu afu ndio muwasho umekolea sasa
Kuepuka guessworks kama ni kweli una hili tatizo (maana JF unaweza kujipinda kusaidia kumbe... )wahi hospital inawezekana kabisa ni dalili za haemorrhoids View attachment 423035
Umekula ban bro!!?We dada ndio ulikuwa ukilalamika mkunduu unakuwasha vipi sasa hivi haukuwashi tena??
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/13660648
Ha ha ha. Bora uwe umesimama karibu na ukuta imagine wewe ni lecturer ama mwalimu afu ndio muwasho umekolea sasa