Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

Sijui kwann vijana wana vichwa vigumu?

Hiz mada ziko kila siku jukwaan na wanachamgia ila haziwasaidii.

Mimi kwa mara ya kwanza kupata gono bila nikajua tu hil ni lenyewe kutokana na kusoma soma sana hiv visa hapa jukwaan, nkkawah fasta hospital, wala hata sikutaka kujinunulia dawa
Huwa nashangaa wanaojinunulia dawa kwa kuangalia mitandaoni ilhali uwezo wa kwenda hospitali wanao si ajabu wana hadi bima kubwa tu.

Sijui anaona aibu, uvivu au ni kutokua na muda.

Mtu dushe, sehemu muhimu kabisa, sehemu inayokufanya uitwe hilo jina unaichukulia poa kabisa aiseee.
 
Unazani kujielezea mbele ya dactar ni simple hivo mkuu...?
 
Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano.

Kuna kitu nilifanya ijumaa
Tubajuabkuwa ijumaa ulipiga kampeni Sasa uhusiano na dawa ndio connection inakosekana
 
Usiombe yakukute....
Utaambiwa hatukutibu mpaka ukuje na mwenzako
Kuna mitaa vijana walikuwa wanaugua gono kinoma.
Watu wa afya wakashtuka na kuanza kufuatilia, vijana wakifika kupata matibabu hawatoi mchoro vizuri walikougulia.
Baada ya ufuatiliaji wa kina wakagundua kuna mshangazi analeta shida. Kazi ikabaki, je wanamshawishi vipi afike kupata matibabu?
Ikabidi wawatumie wale wahudumu wa afya ngazi ya Jamii (ambao wanapatana nae) wakamwambia kuna utafiti, na yeye (mshangazi) amependekezwa kushiriki hivyo aende hosptali.
Alivyoenda akawekwa kati na dokta, akapimwa akatibiwa, na vijana wa mtaa wakapona.
 
Back
Top Bottom