Nikikopa milioni 6 riba ya kulipa hilo deni kwa mwaka mmoja itakuaje? Nia yangu kwenda kusoma Masters nje

Munch wa annabelletz47

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
1,885
Reaction score
3,227
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial scholarship.

Sasa swali je tukikopa hyo 6M riba yake ipoje na tunataka tuilipe kwa mwaka mmoja tu! yan nikipa mkopo na nkpata VISA hyo hela yote nairudisha bank ibaki deni la riba tu ambayo ndo nataka kuijua itakua shingapi?
 
nyumba kwa 6 million. benki gani kakopa tumvizie huyu.
We mjnga acha ujuaji, takwa la kupata VISA ya Canada na Marekani unatakiwa uwe na 5m bank kama sio full funded scholarship sasa wewe kwaakili zako unataka nkupe 20 milion nmekwambia nataka kufungua biashara? muwe msoma na kuelewa ndo muandike, kwan uko shule ulisomea ujnga?
 
Hili nalo linadegree unaenda kufeli huko bora ufanye mengine maana lugha nzuri huna na hujaelewa mwamba alikuwa anamaanisha nini ukakurupuka kakope ukadange ulipe
 
Hili nalo linadegree unaenda kufeli huko bora ufanye mengine maana lugha nzuri huna na hujaelewa mwamba alikuwa anamaanisha nini ukakurupuka kakope ukadange ulipe
We n zwazwa kama uyo mwenzio nmetaka kujua riba tu sijataka ushauri mwngne napia unavosema nakurupuka umechangia hata tofali kwenye hyo nyumba? vlevle umeelewa kwanza nlichoondika au umekurupuka kumsapoti huyo mjnga? na mwsho mm au sisi tunatarget kulipa riba tu ambayo tunaimuda maana hyo 6m itarudishwa yote pale tu ntapopata VISA kwamaana hyo hatutaitumia hyo
 
Inategemea huo mkopo niwamuda gani riba inategemeana na muda utakaokaa na huo mkopo!.
 
Ukishakopa wahuni wakakunyima VISA ndo utajua hujui kuwa visa likipasuka linanuka mbaya mbovu.

Anyway tafutafuta odds 10 weka milioni betpawa hukosi milioni 12
Nyie ndo walewale yan npate admission, npate scholarship tena nkidhi kgezo cha uchumi halafu nkose VISA hv unatumia akili kweli? au ndo roho za ktanzania kukatishana tamaa
 
Mkuu una Degree hata kama ni ya kufuga mbwa na hujui unapotaka kukopa riba yao ni kiasi gani kwa mwaka?

Unakuja kutuuliza sisi ambao hatujui unakopa benki gani tukujulishe riba yao?

Na umesema unaenda Master's (ambayo unaandika Masters)?
 
Mkuu una Degree hata kama ni ya kufuga mbwa na hujui unapotaka kukopa riba yao ni kiasi gani kwa mwaka?

Unakuja kutuuliza sisi ambao hatujui unakopa benki gani tukujulishe riba yao?

Na umesema unaenda Master's (ambayo unaandika Masters)?
Mkuu hyo n wrtng style ya ujana tu, pia swali lako general maana humu kila mtu anatumia bank yake na zpo nyng hzo bank kwahyo nataka kila mtu achangie kwa experience ya bank anayotumia sjataka kuwa specific maana ntakosa maon meng ya msng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…