Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa milioni 6 kama kigezo moja wapo kupata VISA ya kuingia baadhi ya nchi kama umepata partial scholarship.
Sasa swali je tukikopa hyo 6M riba yake ipoje na tunataka tuilipe kwa mwaka mmoja tu! yan nikipa mkopo na nkpata VISA hyo hela yote nairudisha bank ibaki deni la riba tu ambayo ndo nataka kuijua itakua shingapi?