GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.