Nikikubali mtaniona 'dhaifu' ila nikikataa 'nitaumbuka' zaidi lakini 'nikinyamaza' naweza 'Kunyimwa' zaidi. Je, lipi jema?

Nikikubali mtaniona 'dhaifu' ila nikikataa 'nitaumbuka' zaidi lakini 'nikinyamaza' naweza 'Kunyimwa' zaidi. Je, lipi jema?

Mkuu si huwa unawafokea wanafamilia wako wanapotumia vibaya ges, umeme na viroba vya mchele, mpaka huwa unawatumbua wadada wa kazi !?
Nakumbuka ulishawahi kusema wanaokula hela za familia yako watazitapika.
Jiandae kutapika hela za watu🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ila nadhani Mimi ndiyo 'nimeila' zaidi kwani hapa juzi tu nilikuwa na 'Sherehe' Kubwa ambayo ilinifanya pia niweze 'Kuwanunua' Wageni wa mbali huku wengine 'nikiwaahidi' kuwa wakihudhuria tu basi nitawapa 'Zawadi' na wale niliowapa 'dhamana' ya kuhakikisha 'Sherehe' yangu 'inafana' sana nao pia niwapa sehemu ya huo 'Mgao' ambao Mimi niliuomba nikawatibie Wanafamilia wangu kwa Ugonjwa wa 'KOROMA' sana.
Kubwa la mapopoma GENTAMYCINE ,omba radhi huyo rafikiyo,omba radhi hao nduguzo uliokula kwa magonjwa yao,tubu kea Mungu wako.
Hilo la kuwapa dhawadi wageni wako ni ushamba na ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom