GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
You're a 'CERTIFIED' Fool.Kwani kuna mtu ulim'mention' kwenye uzi wako?
Be calm gentleman, pokea unachopenda kukitoa dont be a stupid all the time, at least for sometime!
MkuuOgopa sana kumfanyia Unyangindo ( Uhuni ) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.
Am I proven guilty from JF ku'comment kwenye hii thread?Sio kama nna mtetea ile Hukumu ya Max kuhusu Jamiiforums pengine ndio ina pelekea kuletewa tungo tata kuwakwepa hawa walio shika mpini Mkuu.
katika Kitu ambacho sikipendi ni kuwasiliana na Mtu hapa JF huko PM unakokutaka Wewe. Kuna 'Siri' gani unataka Kuniambia huko? Kama unataka Kunitishia Maisha nakushauri nitishie hapa hapa 'Mubashara' ili 'Members' waone na kama una jingine ( lingine ) bado pia nakuomba niambie hapa hapa tu tafadhali. PM yangu sijaifunga bali 'nimeiseti' Kimtindo kwamba ni mpaka Mimi ndiyo nikuanze Kwanza. Upo hapo Mkuu?Popoma genius,umefunga inbox? najaribu kukucheki
Mungu wangu popoma na wewe unaogopa kutishiwa maisha kiongozi? hahahaha nicheki pm issue ya kawaida tu duh hehehehekatika Kitu ambacho sikipendi ni kuwasiliana na Mtu hapa JF huko PM unakokutaka Wewe. Kuna 'Siri' gani unataka Kuniambia huko? Kama unataka Kunitishia Maisha nakushauri nitishie hapa hapa 'Mubashara' ili 'Members' waone na kama una jingine ( lingine ) bado pia nakuomba niambie hapa hapa tu tafadhali. PM yangu sijaifunga bali 'nimeiseti' Kimtindo kwamba ni mpaka Mimi ndiyo nikuanze Kwanza. Upo hapo Mkuu?
pathetic and annoying statement!. PM yangu sijaifunga bali 'nimeiseti' Kimtindo kwamba ni mpaka Mimi ndiyo nikuanze Kwanza. Upo hapo Mkuu?
Mkuu tatizo ni kwamba hata katka Hazina ( Akaunti ) yangu nako sasa 'Kumekauka' na 'Sherehe' iliyomalizika hivi karibuni tu nayo imenila sana Pesa. Nilikuwa napanga Kumwomba tena Msaada huyu Rafiki yangu Mzungu ili nikamalizie Bwawa langu la Ng'ombe huko Mto Rufiji na kutengeneza barabara ya Kasi ya kunitoa haraka hapa Dar es Salaam hadi Dodoma na kumalizia vizuri 'Kivuko' changu cha Baharini ambacho kitanirahisishia Mimi kutoka Posta kuja Masaki au Oysterbay kwa 'Mahawara' zangu wakubwa.Hyo mzungu achana nae asikupandishe kisukari kweli hela alikupa ukatibie ugonjwa hospitali,ila kwa bahati nzuri ukatibia mizizi na maombi, sasa shda iko wapi si umetumia kwa matumizi mengine,hata ningekuwa mimi ndo "GENTAMYCINE " nsingeweza kurudisha hyo hela kwa rafiki yangu kama ni uaminifu ufe tu
Ukisikia kuvukwa na taulo huku unarusha mtoto na mama mkwe yupo mbele yako ndio hii sasa. Ukidaka taulo mtoto anaanguka, ukiachia taulo mama mkwe anaona tupu yako. Maombi ya siku 3 yalikuja na majibu mengi japo hatukuambiwa majibu yote. π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Ogopa sana kumfanyia Unyangindo ( Uhuni ) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.
GENTAMYCINE nimeanzisha 'Uchunguzi' rasmi wa kumjua huyu Mtanzania aliyeenda Kunichomea 'Utambi' tu kwa huyu Rafiki yangu Mzungu Ulaya.Mkuu
Unyangindo utakupeleka Kaburini hahahah
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo ( Uhuni ) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.
This is just a 'continuation' of your Stupidity.Am I proven guilty from JF ku'comment kwenye hii thread?
Huyo popoma asitupangie cha kuandika awe loyal tu kusoma kwa sababu hata hii nyuzi aliyoandika hana hatimiliki yake.!
Naona unafuatilia huku presha ikipanda na kushuka maana hujui mwisho wake itakuwaje.Ila nadhani Mimi ndiyo 'nimeila' zaidi kwani hapa juzi tu nilikuwa na 'Sherehe' Kubwa ambayo ilinifanya pia niweze 'Kuwanunua' Wageni wa mbali huku wengine 'nikiwaahidi' kuwa wakihudhuria tu basi nitawapa 'Zawadi' na wale niliowapa 'dhamana' ya kuhakikisha 'Sherehe' yangu 'inafana' sana nao pia niwapa sehemu ya huo 'Mgao' ambao Mimi niliuomba nikawatibie Wanafamilia wangu kwa Ugonjwa wa 'KOROMA' sana.
Yule aliyeidhinisha utowaji wa hizo pesa kuja kwa GENTAMYCINE kapewa masaa 48 atoe maelezo yakutosha. Nae tumbo joto huko aliko ππMkuu simple tuu...
Kwani Ulimkopa si alikupa kwa kuwa anazo nyingi,si alikupa msaada!wala asikutie hofu hawezi kukufanya chochote!
Sio mkopo,arafiki wako wengi
Kama Wewe huogopi na unapenda Kufa mtafute Tundu Lissu kisha mwambie awaombe wale waliomtishia Maisha sasa wahairishe Kwake kwa muda na waanze na Wewe. Na kama hili Zoezi litakuwa gumu Kwako nenda pale Kamata njia ya Treni muulizie Yule Askari Treni ya Mizigo inapita Saa ngapi kisha ukijua muda wake Wewe jilaze katikati ya Mataruma yake huku ukisoma Gazeti lako uende nalo kabisa Udongoni sawa?Mungu wangu popoma na wewe unaogopa kutishiwa maisha kiongozi? hahahaha nicheki pm issue ya kawaida tu duh hehehehe
Utaitapika walahiOgopa sana kumfanyia Unyangindo ( Uhuni ) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.
Wewe tangia unitumie 'PM' ukitaka 'nikunyabeli' na 'Kukukatalia' sasa umekuwa na 'Chuki' sana nami. Nasisitiza tena hapa kuwa 'sikunyabeli' ng'o!pathetic and annoying statement!
Mwanaume kuuliza 'upo hapo'! ni dalili mbovu!
Mkuu Gentamycin, kama huyo mzungu alijipendekeza mwenyewe kukupa hela wakati hujamuomba, wala isikusumbue wewe piga kazi.Ogopa sana kumfanyia Unyangindo ( Uhuni ) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.