Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.