Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Wapo wengi tu kaka.Mi nimemaliza kipindi Cha jk naongea kwa uhalisia hakuna dk ambaye Yuko mtaani kipindi chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengi tu kaka.Mi nimemaliza kipindi Cha jk naongea kwa uhalisia hakuna dk ambaye Yuko mtaani kipindi chake
Kama walikataa kwenda serikalini sawa lakini jina ulikuwa unalikuta tayari wamekuandika na umepata mkoa sehemu ya kufanya kazi bila wewe kuomba. Niamni ninacho sema mana ndivyo ilivyokuwa Wala hatukuwa tunaomba ila tulikuwa tunashtukia tumeshapangiwa tu. Ndo mana ajira Sasa hivi za ualimu au udaktari zikitoka wanaandika kwamba wataajiri kuanzia 2015 tuea meaning that wa chini ya hapo tayri wote walikuwa wanaajiruwa moja kwa moja hakukuwa na kuombaWapo wengi tu kaka.
Tusirudie tena kuleta Rais mwenye roho ya kimaskini. Unaweza ukazaliwa maskini lakini ukawa na roho ya kitajiri.Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Acha Kashfa hata Baba akinunua gari watoto wote wanaenda kuilakiKwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Athari za kidikteta mwendazake zimeelekea vichwani mwa chawa wakeMapum,.....mbu ya shangazi yako
Ufisadi mkubwa umefanyika awamu ya tano kwa 1.kujenga Chato kuwa jiji.2.Kuiba uchaguzi wa 2019 na 2020.3.Kuweka Bungeni Wabunge 19 wasiokuwa na chama.Kulikuwa na ufisadi mkubwa awamu ya tatu na ya nne, tafuta rekodi sahihi zitakueleza kwa kirefu.
Pesa ya kodi yetu kama ipo kwanini ununue ndege kwa mkopo?.
Wakumbushe hao watoto waliozaliwa kuanzia 1998 mpaka 2005 wanaona Magufuri kama mkombozi wa Tanzania kumbe ni mtu aliyetaka nchi iingie kwenye machafuko ili atawale milele.Tusirudie tena kuleta Rais mwenye roho ya kimaskini. Unaweza ukazaliwa maskini lakini ukawa na roho ya kitajiri.
Makuzi na malezi ya Magufuli yanaonekana ni mtu ambaye alikuwa anasongwa sana na umaskini as a result akawa anawachukia sana matajiri.
Mwaka 1980 J K Nyerere alinunua brand new Boeing 737 kama 2 hivi nisipokosea, lakini tuliziona zikiruka tu Wala hakukuwa na hayo mapokezi ya kishamba.
Nonsense kama huna cha kuongea nyamaza Tu.Wakumbushe hao watoto waliozaliwa kuanzia 1998 mpaka 2005 wanaona Magufuri kama mkombozi wa Tanzania kumbe ni mtu aliyetaka nchi iingie kwenye machafuko ili atawale milele.
Tunasema ukweli siyo kwamba tunadharau baadhi ya Watanzania la hasha kwa mtu aliyeishudia Tanzania hii tangu awamu ya Kwanza hadi ya sita hawezi kuja na ngojera za kwamba mtu fulani kafanya vizuri kuliko marais wote.
Usiposhukuru kwa kidogo, kikubwa hakikufai.Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
kama katibu mwenezi ccm anapewa mtu mwenye ajira na cheo tayari hao jobless watapata lini ajira?Hatuvitaki hata kidogo tunataka turudi kipindi Cha jk ambapo kila Kona ajira ni za kumwaga
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
kuna maskofu ndiyo waliongoza misa kuziombea ndege...tumetoka mbali jamani watanzania...hiiiii
Cheti fake ni wewe mwenye ubongo wa😁😁😁
Ukiwa na msongo wa mawazo wewe sio kila mtu anao