kuna maskofu ndiyo waliongoza misa kuziombea ndege...tumetoka mbali jamani watanzania...hiiiiiKwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
SawasawaMaisha ni hadithi Tu.....tujitahidi tuache Hadithi nzuri
Wewe ni cheti fake unsyepambana na Msongo wa mawazo!Bado utaona mengi
Tumuombe Mungu uhai tuu
[emoji23]Bado utaona mengi
Tumuombe Mungu uhai tuu
Basi ngoja tukashangae treni za mitumba za mamaKwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
🤣🤣🤣kazi kweli kweliKwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Wewe ni cheti fake unsyepambana na Msongo wa mawazo!
🤣🤣🤣kuna maskofu ndiyo waliongoza misa kuiombe ndege...tumetoka mbali jamani watanzania...hiiiii