Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
- Thread starter
-
- #21
Pole kwaoSijawai kukamatika kwenye hili, nakumbuka mwaka 2016 marafiki zangu watatu wakisukuma walishawishika wakaingia na wenza wao wakawakusanya na baadhi ya ndugu zao wakiamini kwamba wanauaga umaskini jumla. Mmoja wao alishawai kunishawishi sana akaniambia bwana fulani mimi after two weeks nanunua gari nawewe kama rafiki yangu ningependa ufanikiwe kama mimi naomba tuwe pamoja jiunge, nilikataa na hadi sasa yule Bwana kawa kama tapeli gari ad leo hajafanikiwa na maisha yanazidi kuwa magumu kwake ila kuna kitu kinanishangaza mbona wengi wao hawaachi?
Ni kilio na kusaga menoPyramid scheme.. DECI.. [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Jr[emoji769]
Pole kwao
Kama wangekamatwa sidhani hata DPP angeliwaona. Mimi ningekuwa wa kwanza kumvika hilo tairi na mafuta ningenunua mwenyewe na kiberiti chake.Hivi huwa haiwezekani kuwashitaki hawa jamaa ?
Nikikumbuka hii kauli mwili wangu wote unakufa ganzi kwa dakika
Ukiweka Laki Tatu, Baada Ya Week Unaleta Wenzako Wawili Na Wenyewe Wataleta Wawili, Then Baada Ya Mwezi Utaanza Kuingiza Milioni Tatu Kila Week Pia Utaweza Kwenda Spain Kwenye Semina Zetu - GLOBAL ALLIANCE
Laki 3 zangu zikawa zimeenda bureee, mshamba mimi nikawa nimeibiwa
Sijajua wenzangu mliowahi kukutana na kauli kama hii mliichukuliaje.
Nyingine hiiNikikumbuka hii kauli mwili wangu wote unakufa ganzi kwa dakika
Ukiweka Laki Tatu, Baada Ya Week Unaleta Wenzako Wawili Na Wenyewe Wataleta Wawili, Then Baada Ya Mwezi Utaanza Kuingiza Milioni Tatu Kila Week Pia Utaweza Kwenda Spain Kwenye Semina Zetu - GLOBAL ALLIANCE
Laki 3 zangu zikawa zimeenda bureee, mshamba mimi nikawa nimeibiwa
Sijajua wenzangu mliowahi kukutana na kauli kama hii mliichukuliaje.
Hawa watu ni hatariNyingine hii
Nilianza na mtaji wa elf 7.... Saivi nina nyumba 2 south African...na biashara zangu uchini..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app